Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

Salam. Natumaini muu wazima. Leo nimepata call na Number hii +16025575502737 imenipigia leo, nikipokea kimya hamna anaeongea, kuna mwenye kujua hizi number niza wapi? Kuna mtu ameshawahi kupigiwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu nina decoder mbili za dstv, nataka kuziunga zote na niwe na uwezo wa kubadilisha channels kwenye kila decoder kwenye tv mbili tofauti kwa kutumia dish moja. Naomba msaada wenu wakuu kama...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
we deal in designing the cover photo of your business in a good quality at the affordable price with us we are taking you are business at the global level or visit our web page Welcome to Studio...
0 Reactions
2 Replies
680 Views
Respect 1st, niliunlock modem ya eyatel na ikawa succeed unlocked, ila nikieka line ingine ikawa inasearch then inatoa text eti modem z not detected by remote computer...nikaamua kuiunstall na...
0 Reactions
4 Replies
944 Views
Habari wakuu, samahani naomba msaada kwa mtu anayejua namna ya ku-activate evaluation copy ya windows8 kwani ina-expire baada ya siku 90, hivyo nahofu material yangu yote yatapotea, naomba msaada...
0 Reactions
1 Replies
838 Views
ukitaka ku-enjoy lyf just click here
0 Reactions
0 Replies
688 Views
Nimesahau passwod ya simu yangu ya samsung GT-s3411. Nisaidiane jinsi ya ku-unlock hii simu yangu wakuu
0 Reactions
1 Replies
931 Views
Inategemewa cimu za mkononi zaidi ya 2.5M zitatupwa nje ya matumizi ifikapo saa sita leo uciku.. Hiyo imetokea baada ya serikali ya Kenya kupitia mamlaka ya mawaciliano kuamua kupiga marufuku cimu...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Ndugu zangu naomba mtu yoyote mwenye Reg. Key ya Internet Download Manger anisaidie IDM yangu imeisha mudawake wa siku 30.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
habari zenu wakuu, mimi ni mteja wa internet katika mitandao mbalimbali tanzania, kasi ya internet imekuwa si nzuri kwa muda mrefu kweli. juzi nilijiunga na kifurushi cha vodacom cha...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Jamani mimi nilichukua line ya Airtel mwezi mmoja na nusu uliopita wakaniambia wameniunga na promo hiyo. Baada ya hapo sikutumia tena line hiyo, sasa leo nimeweka hela nikaanza kutumia lakini...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
  • Redirect
Wakuu mwenye kujua jinsi ya Kujiondoa Face book anisaidie pls, nataka kufunga acount yangu make nimechoka na face book
0 Reactions
Replies
Views
Ndugu waungwana, mimi naomba mnitoe ushamba katika hili,SIMU nyingi zina Dot au hata kama sio Dot basi ni Alama fulani mithili ya dot tofauti na Button zingine kwenye Button namba 5. mfano;Nokia...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Msaada wenu plz inanigomea kwenye google au internet kiujumla nikiklick inasema "the webpage might temporaly down or moved permanently to another web page" msaada wenu plz na pia kuna sehemu ya...
0 Reactions
2 Replies
936 Views
nimehack modem ya tigo,zantel na airtel ila jaman ttcl wameniweza kama kuna cracker yeyote anipe mauwezo.
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Wadau naomba mnijuze bei (ya kununua) Dstv
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Hi everybody! Nahitaji kutengeneza logo kwa ajili ya kazi yangu. yoyote anjejua kutengeneza nice-looking logo ni PM au nipigie nikupe maelekezo Will pay something on it 0767659145
0 Reactions
15 Replies
2K Views
habari wana jf namba msaada jinsi ya kuondoa monitoring software kwa njia rahisi
1 Reactions
16 Replies
1K Views
habari zenu wadau? Natumia avg free antivirus iko poa kabisa sasa nimepata avg internet security iko poa ila ina shida moja kwamba nikiwa internet baada ya muda flani ina block internet access...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wataalamu, nawasalimuni tafadhali naomba mnieleze hivi kitu ukifuta kinatokea wapi? au kuna program ambayo inatunza vitu vilivyofutwa mpaka kwenye recyle bin ? Tafadhali hilo swali nimejiuliza...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom