wakuu mambo vipi? naitaji time watcher kwa ajili ya computer kwenye internet cafe yangu........ nimejaribu kutafuta google but sijapata.. any msaada plsaa
umeona eh mkuu. huwa nawachoka sana watu wanaopakua za bure halafu wao wanadai kuuza. hp4510 kama upo dar nishtue nikupitizie timewatcher 5.11 na crack yake, kama hupo, ni sawa pia, nitaa upload humu humu JF
polle mdau ulipata ile time wacher? Nambie ukowapi ili nkupe wala 2sifanye biashara mkuu tusha saidiwa sana hapa jukwaani na wadau tena bure tu kwa nini mie nifanye biashara nijuze tu upo wapi then 9ijue ntakupaje tena inaweza kucontrol computer zote kwa kutumia admin tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.