Anyefahamu ku-unlock ideos

Anyefahamu ku-unlock ideos

wlfwilley

Member
Joined
Jun 22, 2010
Posts
33
Reaction score
2
Wadau, nani anafahamu namna ya ku-unlock huawei ideos?
Unaweza kunisaidia?
 
Kama simu yako si ya wizi kwa nini ushindwe ku-unlock ? Mwulize aliyekuuzia.
 
Kama simu yako si ya wizi kwa nini ushindwe ku-unlock ? Mwulize aliyekuuzia.
Inawezekana anahitaji network unlock,sometimes simu hizo zinakuwa locked to one network
 
Tafuta hapa jf kuna mada hyo jamaa anafanya hiyo kazi fasta
 
Back
Top Bottom