Skillseeker
JF-Expert Member
- Jan 30, 2012
- 225
- 34
Habari za kwenu wanaJF,
Nimekuwa nikiwaza kuhusu swala la kusoma CCNA kwakuwa ningependa niwe nakaujuzi kwenye mambo ya networking.
Sasa mwanzoni nilijua CCNA ni course moja ambayo unaisoma kwa muda flani na ukimaliza unafanya ile mitihani yao online.Sikujua kama CCNA nayo imegawanyika pia (exploration,discovery...etc) ..
naomba mnisaidie kunielewesha zaidi.. Pia ningependa kujua wapi pa kuanzia..
Nashukuru sana..