ChaterMaster
JF-Expert Member
- Aug 17, 2009
- 1,623
- 808
wakuu nawasalim...!!
Mimi nina Sumsang Galaxy Young GT-S6102 kwa mda mrefu ila tatizo nnalolpata ni uwezo wake mdogo wa kuhandle kuandka sms ya maneno meng;yangu inaishia maneno 457 tu ikzidi hapo inaconvert to Multmedia Message.
Pia haina option ya 1.kufanya wimbo kama sms ringtone
2.kublacklist no. ya mtu incase sitaki anicall
Wakuu Je! hzi problem na nyie mnazipata au ni ufinyu wangu wa jinsi ya kuitumia hii mobilephone?
Thax!