wapi nitapata battery ya Laptop aina ya toshiba????????????

wapi nitapata battery ya Laptop aina ya toshiba????????????

white wizard

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2011
Posts
8,618
Reaction score
13,896
Natanguliza shukurani nina hitaji battery mpya ya laptop aina TOSHIBA PRO L 300,(Toshiba primary 6-cell li-ion battery pack.PA3534U-1BRS).Kwa anayefahamu zinapatikana wapi na kwa bei gani hapa DSM,kwani jana nimezunguka kwenye baadhi ya maduka yaliyoko maeneo ya posta sikufanikiwa kupata.
 
Nenda maisha computers mkuu pale kisutu...ila bei siwezi kukudangana sina uhakika......
 
Back
Top Bottom