OPERA ipi inadownload music on hulkshare?

OPERA ipi inadownload music on hulkshare?

Tumia uc browser maana opera nana inateseka sana kubrowse hzo page za hulkshare
 
Mi natumia both Opera 7.1 na UC Browser 8.7 na zote zinadownload kutoka Hulkshare
 
Msaada kwa anayejua

zote lakini ukishaingia hulkshare set hiyo opera kwa kwenda TOOLS>SETTING kisha 'unmark' mobile view then save na u 'reload' utaweza kuona link ya Download
 
then sometime kidude cha download hakifanyi kazi ila ipo alternative fata step hizi kudownload

1. Click mziki au file ulilolipenda mfano mziki psy gangnam style itafunguka page
attachment.php


2. Kwa chini utaona button ya download click kudownload

attachment.php


3. Sometime inakataa kwa kustack kwenye generating file usihofu kuna another way kwa pembeni kuna kimshale kimeelekea chini kiclick itaanza kudownload

attachment.php


hope utaweza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom