Msaada: Local disc d imepotea unknowingly nifanyeje pls!

Msaada: Local disc d imepotea unknowingly nifanyeje pls!

Ingawaje haupo clear hapo lkn jaribu yafuatayo:-

1. check na power cable kutoka kwenye power supply kwenda kwenye drive yako.
2.check na data cable kutoka kwenye motherboard kwenda kwa drive yako.
Maana kunakuwaga na issue za Expansion na contraction kwa cables na chip na huwa zinasogea nje ya socket yake.

3. Baada ya kuweka sawa ya hapo juu Check kwenye BIOS hiyo Drive inaonekana hata firmware yake kama hapana kaka badilisha drive hiyo.
 
click the Start button, click Control Panel, click System and Security, click Administrative Tools, and then double-click Computer Management.-wakikuambia administrator password or confirmation, weka password yako or provide confirmation.

2. In the left pane, under Storage, click Disk Management.
..hapa angalia kwa makini hadi uione drive yako.
ukiiona iright click then ipe herufi(,assign a different letter) tofauti(E au yoyote) ukimaliza restart systemr
 
Back
Top Bottom