Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Ninatumia Nokia N72, ina huduma ya kutuma na kupokea email kwenye simu. Nimeshindwa kutumia huduma hii, nikijaribu kutuma email inakataa kwenda, na inanipa ujumbe huu; 'WEB: SERVER NOT FOUND '...
0 Reactions
11 Replies
23K Views
wakuu nimeokota kidude cha Zte evodo(CDMA) ukiunga kanaconnect ila upati net na nashindwa kuweka bundle maana siijui cdma number yake. Nawaomba wajuzi wa hivi vidude wanijuze jinsi ya kupata...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hivi wakuu kama nataka kuangalia local channel kwenye laptop yangu requirements ni zipi?namaanisha bei na viffaa
0 Reactions
10 Replies
3K Views
33 years after it launch nasa VOYAGER,is trying to break free of the solar system.Voyager is now approaching the very edge of our sun,s influence. It is 14 billion km from earth and is still...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Naomba program ya au mfumo utakao niwezesha kuitambuwa simu yangu endapo imeibiwa na fingerprints program msaada wana jf
0 Reactions
3 Replies
849 Views
wakuu kuna samsung niliona kwa mtu ni kubwa hv kama ipad so nilikuwa naomba kujuzwa model yake na bei yake piaa
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Nina hiki kifaa kwaajili ya kutengenezea simu za kichina nitakupa maelekezo bure ya namna ya kutumia bei haizidi 300,000 tzsh nipigieni kwenye 0717009369
0 Reactions
1 Replies
912 Views
Kwanza natanguliza Shukrani zangu nyingi kwa yale majembe yote ya jukwaa hili b'coz i gain lots of stuff here. owky tatizo langu ni hii Del latitud yangu hdd yake imezingua huwa nikiwasha...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
samahani wakubwa nilikuwa nauliza jinsi ya kutengeneza pop up windows au slide pics kwa ajili ya matangazo kwenye blog yangu http mandasi.blogspot.com
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habar wana jf, tatizo langu n computer yangu inachelewa kuwaka na kuzima kuna maneno fulan huwa yanapenda kutokea( window update ) sielew nifanye nn na mm sio mtaalam wa maswala haya ya IT msaada...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
habari hili tatizo la laptop yangu kuzima mara kwa mara linasababishwa na nini unatype inazima yenyewe na hdd haijajaa nini tatizo wakuu wenye ujuzi anisaidie
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari wanajamvi. TATIZO LANGU NI KWAMBA NIMENUNUA ACER LAPTOP NIKITAKA KUINGIA KTK BIO SETUP INANITAKISHA PASSWOD. KWA TATIZO ILI SINA HATA UWEZO WA KUIFORMAT. DOCUMENTS ZOTE ZA UNUNUZI ZIPO, JE...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
hapo tu modem moja je 2 huwa napata hadi 800kbps download speed au 0.98 mara moja sana ndo napata hiyo 0.98kbps download speed NA HII YA 3 NDIO TEST YANGU YA MWISHO WEBSITE INAITWA...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Everyone is guilty of leaving the office unprepared – you forget your cell phone and leave your business cards on your desk. Networking is an effective and easy way to build your career, and...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Unapotaka kuingiza channel mpya unahitaji kuweka frequency, symbol rate na kuchagua kati ya horizontal na vertical kwenye options. Lakini kuna kitu kinatolewa pia kinaitwa forward error...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kitu cha wajanja night sasa basi tena! jana kimebuma usiku mzima yaan speed 17 kb/s! na 200 yangu wamekula. Sitaki tena kutumia voda. Alafu jana jion niliona thread moja humu imekaa ki-spy sana...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kampuni ya MMP ARCHITECTURES (iliyopo mwenge na inajihusisha na uhandisi*ubunifu majengo )inayofura kutangaza kuwa muda wa maombi umesogezwa paka tarehe 27/03/2013. Kumbuka nafasi ni moja tu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wadau nimefunga ku band mbele ya c band ya local channel naomben frequency na symbol rate na satelite pia ya channel ninazoweza pata kwa position hyo natumia media com 930+
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Ndugu zangu kuanzia feb 10 kifurushi cha 400mb kitafutwa rasmi na kuanzishwa kipya cha 500mb kwa TShs 3500 na kitatumika kwa siku 10 tu. Najiuliza lengo la mkongo wa taifa ni kupunguza gharama za...
4 Reactions
43 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu?kuna hii browser Torch imekaa poa ukiwa youtube unadownload moja kwa moja na ku save kwenye computer yako hauhitaji software ya kudownload kutoka youtube pia ina torrent moja kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…