CORAL
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 2,827
- 1,862
Unapotaka kuingiza channel mpya unahitaji kuweka frequency, symbol rate na kuchagua kati ya horizontal na vertical kwenye options. Lakini kuna kitu kinatolewa pia kinaitwa forward error correction(FEC) utakuta wamekuwekea 2/3 au 4/5 kwa mfano. Hizi values zinatumikaje kuweka channel?