Epicauta elbovitata
Senior Member
- Mar 19, 2012
- 143
- 19
Kwanza natanguliza Shukrani zangu nyingi kwa yale majembe yote ya jukwaa hili b'coz i gain lots of stuff here.
owky tatizo langu ni hii Del latitud yangu hdd yake imezingua huwa nikiwasha inaload for a long time na ipo slow sana na huwa inaleta text kuwa kuna hdd problem..
My question is je naweza kupata hdd ya around 35 to 40GB ili niichange..
na kama naeza pata na kuna mtu anaeza kunsaidia kwa hili please dont hesitate to help me out..
Asanten Sana