Msaada parts of etisalat

Msaada parts of etisalat

DEVUQUARTER-DEVUKOTA

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2012
Posts
352
Reaction score
117
wakuu nimeokota kidude cha Zte evodo(CDMA) ukiunga kanaconnect ila upati net na nashindwa kuweka bundle maana siijui cdma number yake. Nawaomba wajuzi wa hivi vidude wanijuze jinsi ya kupata cdma number bila kuwaendea jamaa wa etisalat pia kama kuna anayejua maufundi ya mambo yetu yalee anipim kabla sijaitumbukiza chooni hii kitu.
 
option zote zikishindikana ni nafuu kumcheki mwenye nayo, unaweza pia kuipeleka Zantel HQ mwenye nayo atashukuru sana mpaka ushangae.
 
Kama Dashbody yake unaweza kupiga simu si upige kwenda Numba nyingine ili kuitambua Namba? Lakini ustaarabu nikurudisha kwa mwenyewe sio kutupa Chooni.
 
Likwanda mwenyewe simjui na sina detail zozote za kumtambua isitoshe ina salio la 00 tsh so utapigaje simu mkuu?
 
Last edited by a moderator:
Si uongeze salio kwa kutumia vocha ya zantel hata ya 500, kisha upige

Utaongezaje salio kama hujui namba ya hiyo modem ya CDMA?

SOLUTION HAPO NI KUWAPIGIA 100 NA KUOMBA WAKUPE NAMBA YAKE.
 
Utaongezaje salio kama hujui namba ya hiyo modem ya CDMA?

SOLUTION HAPO NI KUWAPIGIA 100 NA KUOMBA WAKUPE NAMBA YAKE.

Mkuu mimi ninayo MODEM ya CDMA, sijajua hii inautofauti gani na yangu, lakini mimi huongeza salio la kupiga simu moja kwa moja kupitia Mobile partner Dashbody ila linapokuja suala la kununua Bundle ndipo lazima utume namba, sasa nilishauri aweke vocha ili awe na uwezo wa kupiga simu kisha ataitambua hiyo namba, au awapigie customer care watamtajia hiyo #.
 
Exactly! Mkuu Empty hana ufahamu mzuri wa hizi modem. Kwa kutumia default dashboard ya hiyo modem, kuna option ya calling, cha kufanya ni ku-call 104 then fuata maelekezo. Hapo uta-recharge hiyo line ya modem,then utapiga namba nyingine yoyote ili utambue line namba ya modem, nadhani muanzisha mada atakua ametuelewa. Mwisho kabisa kabla muanzisha mada hajahalalisha umiliki wa hiyo modem kwake, afanye jitihada za kumtafuta aliyeipoteza, huo ndio uungwana.
 
Back
Top Bottom