Kwa Wale Mabundi Wenzangu

Kwa Wale Mabundi Wenzangu

Msherwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2012
Posts
1,323
Reaction score
1,232
Kitu cha wajanja night sasa basi tena! jana kimebuma usiku mzima yaan speed 17 kb/s! na 200 yangu wamekula. Sitaki tena kutumia voda. Alafu jana jion niliona thread moja humu imekaa ki-spy sana! Kama huyu mtu ni mhusika apigwe ban, katuharibia sana sisi makabwela.
 
Mbona kwangu ilifanya kazi mpaka saa 12 bila matatizo tena down speed 6mb/s na upload 922kb/s
 
hii package ya wajanja night voda wangejua wangeiondoa tu,hata ukinunua bundle ya 100mb kwa shs 700 ikifika saa 4usiku hufanyi chochote hasa huku vijijini, iko slow na inakatika katika ni afadhali ununue airtel shs 500 kwa siku!!!
 
keep saying that, wenzio 1 night inashushwa 3-4gigs, and on good days 5Gigs bila shida kabsa
 
Uongo mbaya hii kitu inakata stimu,nimetegesha alarm niamke saa nane nione spidi itakuaje, ukte mabundi weng kinyama.
Mbona kwangu ilifanya kazi mpaka saa 12 bila matatizo tena down speed 6mb/s na upload 922kb/s
 
hivi shida yote hii huwa tunadownoad nini? Movie/Video, software, na ikiwa continues for a week bila kukata na kwa spidi nzuri, je - bado kutakuwa na mafile ya kudownload ama yataisha, just asking.

However, najua kuna wengine wana uploads za kufanya, na kazi zao zinahusu up/download.

Mi niliona ni kama inatesa kuvizia na kuamka usiku, nikanunua line mbili, moja wajanja, nyingine bundle ya mwezi. kama niko macho kwenye saa nne, basi naunga wajanja, ila kama sina cha kunifanya nikeshe, nitatumia anytime kifurushi cha mwezi muda wowote bila mawazo.

Sasa hivi nimebaki na line moja, unlimited ndo inanifaa ili nilale na kuamka ninapotaka, na si kupelekeshwa na 'utumwa night', ati na jina kujipachika kabisa, BUNDI. Loh!
 
hata mimi naona zengwe tu aysee!! Yani nikitaka stable connection with good speed niamke saa 10 alfajiri..!! Ashiiiiii
 
hivi shida yote hii huwa tunadownoad nini? Movie/Video, software, na ikiwa continues for a week bila kukata na kwa spidi nzuri, je - bado kutakuwa na mafile ya kudownload ama yataisha, just asking.

However, najua kuna wengine wana uploads za kufanya, na kazi zao zinahusu up/download.

Mi niliona ni kama inatesa kuvizia na kuamka usiku, nikanunua line mbili, moja wajanja, nyingine bundle ya mwezi. kama niko macho kwenye saa nne, basi naunga wajanja, ila kama sina cha kunifanya nikeshe, nitatumia anytime kifurushi cha mwezi muda wowote bila mawazo.

Sasa hivi nimebaki na line moja, unlimited ndo inanifaa ili nilale na kuamka ninapotaka, na si kupelekeshwa na 'utumwa night', ati na jina kujipachika kabisa, BUNDI. Loh!

me nna week unlimited (baada ya mwezi kuisha) but still naunga hii wajanja. Kama unlimited inakusatisfy well you do not have the need for speed, soon after full speed ikiisha hiyo bundle ni useless. Yaan huwez hata kustream 5min youtube video for Gods sake, hata kudownload 20Mbs tu ni challenge. Mambo gani hayo, most of the times nahitaji kushusha files >400mbs its impossible with that sh*t
 
wakali wa kuchaka tupeane mbinu (pm only) maana ubundi ushapoteza ladha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom