nafasi y kazi _ secretary 1post

nafasi y kazi _ secretary 1post

tafakari kali

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2012
Posts
211
Reaction score
39
Kampuni ya MMP ARCHITECTURES (iliyopo mwenge na inajihusisha na uhandisi*ubunifu majengo )inayofura kutangaza kuwa muda wa maombi umesogezwa paka tarehe 27/03/2013.
Kumbuka nafasi ni moja tu.
Pia waombaji tumeni barua ya kuomba kazi mkiambatanisha na cv zenu kwa e_mail
fredymsigwa@gmail.com
(tafadhari vyeti viwe scaned na si copy ndo iwe scaned)
Mwenye uzoefu wa kiushindani atapewa kipaumbele,tuna ahidi attractive package.

*mliokwisha tuma tafadhari msitume tena*
 
ndugu mkurugenzi,

natumai u mzima wa afya, je, ulinuia kupost hili tangazo lako kwenye hili jukwaa ama umekosea kidogo njia.
wako katika ujenzi wa jamii.
 
tafakari kali kama uko serious kupata msaidizi wa namna hiyo tembelea "Secretarial bureau" uangalie wazoefu na ufanye ushawishi
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom