Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
Hivi wakuu kama nataka kuangalia local channel kwenye laptop yangu requirements ni zipi?namaanisha bei na viffaa
Hivi wakuu kama nataka kuangalia local channel kwenye laptop yangu requirements ni zipi?namaanisha bei na viffaa
mkuu kwa sasa nipo chuo sidhani kama ni rahisi kumiliki tv,,,pia nipo mitaa ya kariaakoo lkn hiyo livingstone ungenielezea vizuri iko sehemu gani make mi si mwenyej kivile,,,,pili ungenipa hata hint ya bei kama umewai kununua,,,,tatu je ukisha nunua hiyo card unakuwa unalipia kila mwez au?mzee.kuna maduka pale livingstone nenda kanunue tv card na bei zao ni maelewano tu.kwani huna tv hadi uitese laptop mkuu?
Mkuu Tv Card ni Hardware utayoiongeza ktk Laptop yako ili ukiweka software yake uweze kupata mfumo wa TV katika Laptop yako. Siku hizi kwa vile tupo ktk Digital itatakiwa inunue King'amuzi ili uweze kutazama hizo chanel. Kama upo sehemu ambayo utahitajika kua na kingamuzi ni Bora ungenunua kifaa kinachoitwa easy video capture ambacho ni bei rahisi 35,000 na ni Portable kuliko external tv card ambayo ni 70,000. Angalizo hakikisha kua Laptop preccessor ina angalau 1.8Ghz.
umesomeka mkuu ,kwa hiyo easy video capture nayo inabidi kulipia local channels
Umeambiwa hiyo ni hardware so ukichomeka inakuwa ni sehemu ya pc yako kamailivyo dvd rom,fire wire etc. so hulipii hiyo card bali malipo ni kwa kingamuzi unachotumia mkuu
emu nijulishe malipo ya hivyo vingamuzi