Salaaam wakuu,
Kuna promotion inayotolewa na voda ambapo ukijiunga unatozwa sh 76 na unajiunga kwa kubonyeza *801*01*07*****#
Kuna rafiki yangu anaifaidi kila siku hii ofa lakini kwa upande wangu...
Habari wakuu leo tutacheki jinsi ya kubypass hii kitu, Kuna njia nyingi zipo zinazo semekana zinakubali but nyingi huwa ni ngumu/hazifanyi kazi na kwa XP kuna ile trick ya safe mode(ambapo only...
Sorry kwa yoyote anaeweza nipa details kidogo za hii uduma ya tigo, kuuza hizo cards kwa 30,000 na kuweza kupata ofa ya internet, sms n calls katika smartphone yako. Hivi vitu ni unlimited? Kwa...
Naomba maelekezo jinsi ya kuset facebook page iwe kwenye desktop view kwenye simu ya android E400. Kuna siku sijui ilijiset yenyewe....ilikuwa poa sana. Najaribu kutafuta sehemu yenye hiyo option...
Katika account yangu ya Benk nilikuwa na salio pesa za kutosha tu,sasa tarehe 5 mwezi huu yaani jana nilienda ku-draw some cash nikakuta sina Salio la kutosha kabisa na ukizingatia kadi yangu...
Sawa ni simu ya ki-china aina ya TECNO T1 ANDROID,nimeinunua katika hali nzuri tu,ina support internet na GPS vizuri sana lakini jana nilii-switch off then nikaitupia charge.Sasa leo nimeiturn on...
Tahadhari hii nimeikuta FB, nikaona itakuwa vyema nami niwashirikishe na wenzangu katika jamvi hili kama mtakuwa hamjakutana nayo;
"Jaman kuna wizi umeingia kwenye mtandao wa vodacom kupitia...
The Samsung Galaxy Camera drew a lot of attention when it was announced though launch date and pricing details were a bit slim. Samsung put out a press release today, saying the camera will be...
Wakuu naomba msaada, nina kasim Ideos lakini kana maandishi with googleTM, android version 2.3.7, ni touch screen. Sasa nimeweka line ya voda na nikajaribu kuunga internet kwa kutuma neno internet...
Wakuu ni simu gani nzuri kwa masuala ya business?
Je ni Blackberry bold 4
Au ni samsung galaxy S3
Au ni iphone 4s na 5
Na hapa nazungumzia mazingira ya Tanzania na biashara yenyewe ni...
Ni karibia tarehe 23 mwezi huu jolla watazindua sailfish yao os itakayokuja kushindana na windows phone, android na ios. Its sad ukiskia story yao hawa jamaa walikua waajiriwa wa nokia...
Anatafutwa mtu anayeweza ku-design MOBILE
APPLICATION. Wasiliana kwa namba hii
0715-813505 au atume CV kwenye
honorizi@gmail.com. Kama una uwezo huo nafasi
ya kazi hii hapa..!!!
Wakuu nina nongwa ya ki tech, ambayo maelezo yake ni kama ifuatavyo:
Nilikuwa natumia Win XP ikaleta matatizo ambayo naamini yalitokana na virus kwamba short cut zote zilitoweka kwenye desktop...
simu yangu inaitwa android tu ndefu hivi kama mnazijua sasa sijui wana connect vp net nikijaribu inakataaa na apn nimeweka internet help bila modem au kamaa mnaweza hata na modem njia zote mbili