Naomba tusaidiane kwa hili

Naomba tusaidiane kwa hili

Jayfour_King

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2009
Posts
1,135
Reaction score
131
Wakuu nina nongwa ya ki tech, ambayo maelezo yake ni kama ifuatavyo:
Nilikuwa natumia Win XP ikaleta matatizo ambayo naamini yalitokana na virus kwamba short cut zote zilitoweka kwenye desktop nikajaribu kufanya hili na lile ikashindikana ndipo nikachukua uamuzi wa ku format na kuweka window mpya.

Ambayo ni Win7 Pro, matatizo ninayoyapata ni kwamba sipati sound na pia sipati option ya kubadili screen resolution ina option moja tu ya 640x480 ambayo ni inactive huwezi badili chochote na maandishi kwenye start menu ni makubwa kuliko kawaida. Machine ninayotumia ni Dell optiplex 260.

Msaada na ushauri wenu ni muhimu sana kwangu.

Kabla ya kuweka Win7 nilijaribu nilijaribu Vista Business sp1 hii ilikuwa na drivers za net na sound bila shida tatizo lake ni kwamba inaonyesha kwamba ina expire baada ya 30 days nami activation keys nimezimisplace hivyo nikalazimika kuiondoa kwa sababu hiyo.
Naomba darasa.
 
Hiyo kompyuta yako lazima iwe imefikia viwango vya kuweka Windows 7 kama sivyo ndo matatizo kama hayo yanatokea. Jaribu kulinganisha hizi system requirement za Windows 7 na uweza wa mashine yako. Kama inafikia hivi viwango basi kutakuwa na shida nyingine.

Windows 7 system requirements

If you want to run Windows 7 on your PC, here's what it takes:

  • 1 gigahertz (GHz) or faster 32-bit (x86) or 64-bit (x64) processor
  • 1 gigabyte (GB) RAM (32-bit) or 2 GB RAM (64-bit)
  • 16 GB available hard disk space (32-bit) or 20 GB (64-bit)
  • DirectX 9 graphics device with WDDM 1.0 or higher driver

Additional requirements to use certain features:

  • Internet access (fees may apply)
  • Depending on resolution, video playback may require additional memory and advanced graphics hardware
  • Some games and programs might require a graphics card compatible with DirectX 10 or higher for optimal performance
  • For some Windows Media Center functionality a TV tuner and additional hardware may be required
  • Windows Touch and Tablet PCs require specific hardware
  • HomeGroup requires a network and PCs running Windows 7
  • DVD/CD authoring requires a compatible optical drive
  • BitLocker requires Trusted Platform Module (TPM) 1.2
  • BitLocker To Go requires a USB flash drive
  • Windows XP Mode requires an additional 1 GB of RAM and an additional 15 GB of available hard disk space.
  • Music and sound require audio output
Product functionality and graphics may vary based on your system configuration. Some features may require advanced or additional hardware.
PCs with multi-core processors:
Windows 7 was designed to work with today's multi-core processors. All 32-bit versions of Windows 7 can support up to 32 processor cores, while 64‑bit versions can support up to 256 processor cores.
PCs with multiple processors (CPUs):
Commercial servers, workstations, and other high-end PCs may have more than one physical processor.Windows 7 Professional, Enterprise, and Ultimate allow for two physical processors, providing the best performance on these computers. Windows 7 Starter, Home Basic, and Home Premium will recognize only one physical processor.

Windows 7 system requirements - Microsoft Windows
 
Tatizo lago ni drivers za sound na VGA basi, ukiweka hivyo tatizo solved 100%
 
Hilo nalifahamu mkuu tatizo langu ni driver gani itanifaa kufanya kazi na hii OS mpya kwenye machine ya zamani?
 
Nashukuru kwa hili darasa ngoja nirejee hizi specs ili nione uwezekano wa tatizo.
 
Tafta universal drivers pack lates tupia na ku irun

Shukurani mkuu, nitatumia ujuzi huu hata hivyo kwa kuwa hali ya display ni mbaya nimeona bora niitoe ili nirejee Winxp ambayo kwa toleo la machine husika drivers sio tatizo.
 
Back
Top Bottom