Msaada,naumbuka mwenzenu!

Msaada,naumbuka mwenzenu!

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Sawa ni simu ya ki-china aina ya TECNO T1 ANDROID,nimeinunua katika hali nzuri tu,ina support internet na GPS vizuri sana lakini jana nilii-switch off then nikaitupia charge.Sasa leo nimeiturn on ina display emergency call.Nimejaribu ku-check settings lakini ni meshindwa ku-solve tatizo.Kama kuna anayejua plz naomba msaada.Kuna watu wataponda kwamba tatizo ni mchina lakini tatizo hili pia limemkuta mwenzangu akiwa na iPhone 4 yake,msaada plz,thanks in advance.
 
angalia kama line imekaa vizuri, then rudisha taarifa kama bado kuna tatizo
 
Sim card imekaa vizuri tu,nimejaribu now and then kutoa line na kuweka upya lakini habari ni ile ile,inazitambua line zilizoingia kwamba ni Airtel na VODACOM but ina display EMERGENCY call only,yaani ni kama kuna restrictions ya networks.
 
jaribu kubadilisha line na uweke za mitandao mingine, kama tatizo bado lipo hauna jinsi ni ku format tu.
 
Angalia settings, ubadilishe profile.inawezekana umeweka airplane mode, inazima network zote. Ingekuwa ni simcard ingekuambia insert sim.
 
Sawa ni simu ya ki-china aina ya TECNO T1 ANDROID,nimeinunua katika hali nzuri tu,ina support internet na GPS vizuri sana lakini jana nilii-switch off then nikaitupia charge.Sasa leo nimeiturn on ina display emergency call.Nimejaribu ku-check settings lakini ni meshindwa ku-solve tatizo.Kama kuna anayejua plz naomba msaada.Kuna watu wataponda kwamba tatizo ni mchina lakini tatizo hili pia limemkuta mwenzangu akiwa na iPhone 4 yake,msaada plz,thanks in advance.

jaribu ku fanya restore,
ukishindwa kama kawaida .::Kariakoo::. or 0715353108
 
Angalia settings, ubadilishe profile.inawezekana umeweka airplane mode, inazima network zote. Ingekuwa ni simcard ingekuambia insert sim.
Duh!ushamba huu nao,inawezekana@king'asti coz muda wote ina display alama za aeroplane lakini nikicheck profile ipo katika GENERAL,sasa sijui wapi tatizo,anyway thanks kwa kunipa extra idea!
 
Sim card imekaa vizuri tu,nimejaribu now and then kutoa line na kuweka upya lakini habari ni ile ile,inazitambua line zilizoingia kwamba ni Airtel na VODACOM but ina display EMERGENCY call only,yaani ni kama kuna restrictions ya networks.

Hiyo sio simu ya sim card mbili? kama ni hivyo hakikisha sim card zote unazitoa na kuziingiza tena upya.
 
Duh!ushamba huu nao,inawezekana@king'asti coz muda wote ina display alama za aeroplane lakini nikicheck profile ipo katika GENERAL,sasa sijui wapi tatizo,anyway thanks kwa kunipa extra idea!

Edit hiyo profile. May be jina ni GeNeRaL lakini setting ni airplane
 
Dah!natanguliza shukrani kwa wote mlonipa ushirikiano chanya,hatimaye nimerudi hewani na ninaendelea kutakata kwa speed kali na smartphone yangu ya tecno,thanks alot,JF ndo kila kitu.
 
jaribu kuieka ktk flight mode then rudisha tena ktk general.......................
 
Dah!natanguliza shukrani kwa wote mlonipa ushirikiano chanya,hatimaye nimerudi hewani na ninaendelea kutakata kwa speed kali na smartphone yangu ya tecno,thanks alot,JF ndo kila kitu.
so umegundua ulichemka wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom