simu gani ni nzuri kwa masuala ya business

simu gani ni nzuri kwa masuala ya business

C.T.U

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2011
Posts
5,080
Reaction score
3,771
Wakuu ni simu gani nzuri kwa masuala ya business?
Je ni Blackberry bold 4
Au ni samsung galaxy S3
Au ni iphone 4s na 5

Na hapa nazungumzia mazingira ya Tanzania na biashara yenyewe ni biashara ya kujiajiri mwenyewe
Na je ukishakuwa na moja ya hizo simu kuna haja ya kuwa na ipad au note ilhali una laptop tayari?
Natanguliza shukrani
 
Tumia (((Samsung Galaxy Note 10.1 N8000)))!! Japo kujiajiri kupitia simu sijakuelewa vizuri hapo,,
 
chukua iphone 4s, ipad3 na macbook.. product za apple ni imara sana na pia ni environmental friendly.
 
chukua iphone 4s, ipad3 na macbook.. product za apple ni imara sana na pia ni environmental friendly.

Hivi ukiwa na laptop na simu kuna haja ya kuwa na ipad?
 
Hivi ukiwa na laptop na simu kuna haja ya kuwa na ipad?

Unajua laptop imetengenezwa kwa ajili ya portability uwe nayo sehemu yoyote unapoenda lakini tablet ni more portable (ipad ni tablet) then tablet inakaa zaidi na charge kuliko laptop unatumia siku nzima na kucharge usiku.

Sjajua biashara yako na uwezo wako ila kama unamove sana tablet ni bora zaidi na hasa skuizi kuna tablet ambazo zinauwezo wa ku launch application za computer (laptop) kama vile microsoft word.

Kama una hela sana ipad haikufai maana ni simu yenye screen kubwa apple wana bidhaa inaitwa macbook ni tablet inayorun os ya computer sawa na computer nyengine za apple bei ni pasua kichwa around millioni 5

MacBook_tablet_by_pickupjojo.jpg

Tablet nyengine unaweza opt ni microsoft surface rt. Hii imetengenezwa na wale wale waliotengeneza windows sema windows rt inalaunch software ambazo zipo store tu na bei yake around laki 8
surface-tablet.jpg

Pia microsoft watakuja kutoa surface pro ambayo itaingia software zote za computer.

Hizo tablet zote hapo juu zina power zaidi ya laptop za kawaida so kwa biashara ya kujiajiri ndo best

Kama unataka kuchezea chezea nenda android's base tablets na ipad's
 
Nunua Galaxy Tab Android Tablet-Portable.
 
Back
Top Bottom