wanted......

wanted......

nurbert

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
1,887
Reaction score
428
Anatafutwa mtu anayeweza ku-design MOBILE
APPLICATION. Wasiliana kwa namba hii
0715-813505 au atume CV kwenye
honorizi@gmail.com. Kama una uwezo huo nafasi
ya kazi hii hapa..!!!
 
yah na useme ni app za aina gani kama za text tu hata mimi naweza au ukitaka ntakufundisha kwa nokia
 
Yap chief nfundishe hz za text.............

nokia wana app ya web ya kutengeneza apps za java za 240x320, 320x240 na 240x480(320x400) ni very easy we unaclick tu.

Mi nimetest kuimport web yangu nimeeka url ya feedburner nkatengeneza apps kwa click moja tu.

Pia wana simu za online kwa ajili ya kutestia unapick tu mfano asha 202 then inarun apps yako online.

Kutengeneza nenda hapa
Home - Nokia | Xpress Web app builder

Pia unaweza add music, video na picha
 
so hii nategeneza ap online?
 
Back
Top Bottom