msaada juu ya radio kwenye nokia N73

msaada juu ya radio kwenye nokia N73

kdany

Senior Member
Joined
Jul 20, 2012
Posts
149
Reaction score
25
wakuu habar,naomba msaada wa jns ya kuaccess radio kwenye hii simu imenshnda
 
wakuu habar,naomba msaada wa jns ya kuaccess radio kwenye hii simu imenshnda

By default radio application inapatikana kwenye menyu,folder la application.Unatakiwa kuchomeka headphone ili kusikiliza radio,ama unaweza kwenda kwenye radio>options>station directory ukafanya live streaming kama una bundle la kutosha'unlimited data plan'
 
wakuu habar,naomba msaada wa jns ya kuaccess radio kwenye hii simu imenshnda

umeshindwa ku access radio ki vipi?? hauja ona radio app ama kuna tatizo jingine?? toa maelezo umekwama wapi tukusaidie
 
Back
Top Bottom