How to bypass Win Xp, Vista, Win-7 administrator password fast and easy.

How to bypass Win Xp, Vista, Win-7 administrator password fast and easy.

e2themiza

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
974
Reaction score
564
Habari wakuu leo tutacheki jinsi ya kubypass hii kitu, Kuna njia nyingi zipo zinazo semekana zinakubali but nyingi huwa ni ngumu/hazifanyi kazi na kwa XP kuna ile trick ya safe mode(ambapo only works kama kuna local account na admin account) n.k but this is even better ni very easy and fast na istoshe ina bypass password lamkini jinsi ilivyo setiwa na kuna verison mpya ya hii software ambayo inaweza ku bypass password ya Windows 8 pia but iyo haijavuja bado.. but hii verison ambayo imevuja ni tool tosha maana si bure ina uzwa sasa thanks to torrent tunaipata bure.

Nimetest kwa Windows XP kwa kuweka administrator password, na nilivyo tumia na hii tool haiku bypass tuu but ikadelete kabisa..(100% success)
Kwa Vista na kuendelea haidelete password but ina bypass tu na inbidi uidelete au uichange ikishawaka..(Nimetest kwa Windows 7 Ultimate 100% success)

Ok kwanza nimekuta video ya youtube kuonyesha ikiwa kazini




Ok chakufanya nime attach iyo tool, extract it hapo kuna njia 3 ambapo njia mbili unaweza tumia kwa sasa but sana sana moja ndo uhakika..

Unaweza ku install iyo image kwenye usb drive yako.. but lazima pc yako iwe na option ya kuboot from usb( maelezo utakuta katika read me files)

Na pia kuna option ya kuburn hii tool kwny cd.. ambapo kuna mafile ya kuburn kwenye cd hii ni easier na wengi mnajua kuboot from cd..

So that's it boot iyo tool kwenye pc ambayo pass iko locked, umesahau au unataka kuhack :evil: then iache ifanye mambo yake it takes like a few seconds na ikitokea sehemu ya kuweka password just hit ENTER and your in!
 

Attachments

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom