Habari wana Home of Great Thinkers,
Nimedondosha Mashine ninayotumia HP probook 440 G2 imevunja Case yake upande wa Kioo.
Mwenye Housing /case ya mashine hio tuwasiliane nataka kununua.
Habari za muda huu wadau,
Nauliza kwenu hivi naweza kupata wapi vifaa vya kutengeneza ''Mini Tv cable"..Yani nakua na visimbuzi vitatu Azam,DSTv na startimes halafu na vicombine chanell zake...
Za asubuhi wanaJF.
Leo ikiwa ni Jumanne tulivu, wanaJF wakitokea kwenye weekend ndefu kuanzia Jumamosi.
Ninaanza kwa swali kama kichwa kinavyosema, Je unaifahamu CANVA?
Share designs...
๐ฉ๐ผ๐ฑ๐ฎ๐ฐ๐ผ๐บ ๐ท๐๐ ๐๐ฎ ๐๐ฎ๐๐ ๐ธ๐๐๐ฎ๐ฝ๐ฒ๐น๐ถ๐๐ฎ ๐บ๐ถ๐๐ฎ๐ป๐ฑ๐ฎ๐ผ๐ป๐ถ
Jana Kwenye mtandao wa jamii forums kupitia mkurugenzi wa udhibiti wa hatari na utii wa sheria waliweza kuzungumza juu ya watu wanavyoweza kutambua...
wana jf wenzangu habari za leo naomba kama kuna mtu yeyote ambaye anamiliki receiver ya XMASTER MIN HD iliyokufa a.k.a mbovu naomba aniuzie tuwasiliane kwa whasaph no 0684 061188.
Habarini wakuu.
Naombeni pendekezo la TV nzuri ( specification na model)nayoweza kupata kwa bajeti hiyo hapo.
Vigezo ni ubora wa picha na smart features.
Chief-Mkwawa
Huwa napenda sana kucheza game ya mpira kwenye playstation, x box na pc kwasababu mambo ni chap chap, ukiwasha game waweza kuchagua timu unayotaka unazama uwanjani kulisakata kabumbu.
Kwenye game...
Kama tunavojua apple wanapotoa toleo jipya la simu mfano iphone 15
pia hutoa na software mpya? Sasa hii hapa nakusogezea ili utambue.
Apple wameamua kuacha kuzipa updates simu hizi baada ya...
Hard disk langu lilikuwa 3Tb sijui wakati wa kuformat nimebonyeza wapi limebaki 746Gb .
Naombeni mwenye ujuzi anisaidie jinsi ya kuurudisha volume yake halisi
Ukiachana na serverless backend kama Firebase, Supabase, etc. Ni Framework gani inamfanya developer awe productive zaidi kati ya Laravel na Django?
Binafsi, huwa natumia Node js kufanya backend...
Wakuu naombeni ushauri wenu na mwongozo kutoka kwenu,
Nilikua naangalia baadhi ya coz nazo weza kujifunza online nikavutiwa na Mambo ya Coding japo kua Sina knowledge yoyote kuhusu computer...
Habari,
Kwenu watalaamu, naomba kufahamishwa ni chemical gani ninaweza kutumia ili kutafanya maji ya bombani (dawsco) yawe matamu kama yanayosambazwa na chupa..mfano Hill water, masafi...
Nataka nianzishe mradi wangu wa ku-flash simu za aina zote.
Ni computer ya aina gani inaweza kuwa mzuri kwa kazi hii. Iwe na specifications za aina gani?
Baada ya kujichanga kwa muda fulani nikajizolea iPhone 13 Pro Max pale Mlimani city sikutaka zile Kushoto nyingi Mara iphone za Mwenge fake Mara Kariakoo ukinunua ushapigwa tayari
BAADA YA KUJUA...
Kwa muda Sasa I've been trying ku log in lakini kila nikiweka namba ya simu inaload tu nlikuwa nadownload then nagive up nafuta ila leo nikawasha VPN...boom....Nape na TCRA wanahusika