MTAtiro grandson
Member
- Aug 18, 2019
- 80
- 177
Husika na mada tajwa hapo juu nataka mwenye swali lolote kuhusu wi-fi niulize tu nikupe majibu chap kwa ambao hamjui chochote
Wifi ni dada wa mume!
Wi-fi ni nini tuanzie apoHusika na mada tajwa hapo juu nataka mwenye swali lolote kuhusu wi-fi niulize tu nikupe majibu chap kwa ambao hamjui chochote
🤣🤣🤣🚶🚶🚶Mwenye chura
WiFi inatumika kusafirisha data kwa njia ya wireless (bila waya) hvyo haijalishi kma hzo data ni internet, picha, video, file yenyewe inabeba zote. Hvyo inaweza tumika kusafirisha video (kma kwenye projector), sauti (kuna vifaa vinavyotumia frequency za wifi kusafirisha sauti), kutuma mafile (kama xender, nearby share, share it). Cha msingi tu receiver ya hzo data ni lazima iwe na uwezo wa kutambua ni kitu gani kilichotuma.Unafanyeje kufanya connection na projector ah printer
Yap inawezekana nichek pm nikutumie link ya maelekezo humu ma modereta wanazingua kuna siku humu nilileta uzi wa kuhack wazee wakaufutaNataka ni hack wi-fi ya chuon kwetu hap dsm mkuu veep inawezekan maan ipo lakin password hatujaambiwa
Wi-fi haiuzwiOkey unauza Wi-fi bei gani na ninatakiwa nitume pesa kwenye namba ipi?
Wi-fi ni wireless fidelityNaomba unisaidie kirefu cha wi-fi
Npo mbona sijasepaUmekimbia maswali mamaaaaae
NipoMtoa mada kashasepa