Abu Dhabi TV Network

Abu Dhabi TV Network

Cesc Henry Sn

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
217
Reaction score
125
Habari zenu wadau humu ndani!

Nina shida kwa mtu anaejua upatikanaji wa Receiver ya hawa jamaa (Abu Dhabi TV Network) maana nimejaribu kuperuzi kwenye mtandao kama wana msamabazaji hapa Tanzania hapana mafanikio, zaidi ya tetesi tu kuwa vinapatikana mjini hapa (Dar Es Salaam)

Kwa yeyote anae fahamu au idea kuhusu hii issue nitafurahi kusikia kutoka kwako!!!!
 
nenda kariakoo kwenye maduka ya wauza madish ya satelite tv
 
...zenji zinapatikana bro. wanakusaidia kupata card ya aljazeera...huku poa.
 
kuna mtu alishapost humu anauza decorder zake na jinsi ya kulipia
itafute hiyo thread
aliweka contacts pia, anapatikana kariakoo.
 
Back
Top Bottom