Srebrina
JF-Expert Member
- Jan 28, 2012
- 972
- 441
naombeni msaada niliomba maelekezo kwa jamaam mmoja akanitumia rar file ambayo ndani yake kuna txt file mbili moja ikiwa ni pass ya ile nyigine ambayo iko locked lakini ile file ya password nilijisahau nika delet sasa nilikuwa nauliza kama naweza elekezwa jinsi ya kucrack ile txt file yenye password