oxlade
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 601
- 96
naomba mnisaidie pc yangu haina drver ya wireless hvyo nashndwa kupata wireles, nataka kusearch google kama ntapata driver nashndwa kwani cjui hii pc ni aina gani kwan haijaandkwa popote, natumia window 7, msaada wenu tafadhali kama ntaweza kupata hyo driver. Natangulza shukrani.