How Do I Dowmload a Photo from a Mobile Phone?

How Do I Dowmload a Photo from a Mobile Phone?

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,280
Wataalam wangu, hamjambo?

Nimepitia Jukwaa la Jamii Photos na baadhi ya waliotuma picha huko wanasema walizipiga kwa kutumia simu zao za mkononi. Je hata mimi na kamchina kangu naweza kupakulia picha kwenye Jamii photo?
N.B. Hiyo simu siitumii kuingia JF, natumia laptop lakini nataka nipige picha kutumia simu, kisha niilete hapa JF. Nifanyeje?
 
Wengi wanapost picha kwa kutumia simu, ni zile simu zenye uwezo wa kusapot Jf app maalumu.
Mfano simu za android,blackberry na iPhone.
Sijui wewe unatumia simu gani.

Lakini ngoja waje wataalamu watakufafanulia zaidi.!!
 
Mkuu hakuitwi kudownload kunaitwa ku upload.

Huyo mchina wako ana hata operamini? Kama hana endelea tu kutumia laptop
 
Mkuu hakuitwi kudownload kunaitwa ku upload.

Huyo mchina wako ana hata operamini? Kama hana endelea tu kutumia laptop

Asante chief-mkwawa kwa maelezo yako. Opera ninayo kwenye laptop. Hiyo operamini sina habari nayo. Kamchina kangu ni ka kawaida tu. Sidhani kama ntaweza ingia JF kwa kukatumia!
 
Last edited by a moderator:
Wengi wanapost picha kwa kutumia simu, ni zile simu zenye uwezo wa kusapot Jf app maalumu.
Mfano simu za android,blackberry na iPhone.
Sijui wewe unatumia simu gani.

Lakini ngoja waje wataalamu watakufafanulia zaidi.!!
Wee bwana wee! Mimi simo kwenye dunia ya android, blackbelly na iPhone! Kwa hiyo nafuta swali langu la msingi.
 
Back
Top Bottom