msaada kwa wakubwa wanaojua masuala ya ku root hizi android phones hususan samsung galaxy pocket ambayo ndiyo simu niliyonayo hivi sasa na naomba tujulishane kuhusu faida na hasara za ku root...
Kwa mwenye kufahamu ninapoingia kwenye Kamera kwenya BlackBerry yangu 8120 inanipa msg ya 'COULDNOT START THE CAMERA.CLOSE OTHER APPLICATIONS AND TRY OPENING THE CAMERA AGAIN' mwenye kujua hili...
Wadau habari,najya kuna ma computa wiz humu.Nisaidieni.
Je ninawezaje kudownload clip nazoziona you tube ili niziweke kwenye storage devise zangu.Je inahiitajika
software specia au.Wadau giza...
General Information
2G Network GSM 850 / 900 / 1800 / 1900
3G HSDPA 850 / 1900 / 2100
4G No
SIM Dual Mini SIM card
Status Unannounced
Body
Dimensions 115 x 67 x 11.3 mm
Keyboard Complete...
Najaribu kufanya application, kwenye OLAS, nafanya after filling academic issues next page doesnt respond it goes back to the previous page I don't know kwamba ni network problem au kama kuna kitu...
Kwa sasa natumia blackberry ila nataka kuhama nihamie kati ya windows au ios ,cjapendelea sana android kwa sababu haikai na charge naombeni msaada wenu wAkuu wenye ujuzi nihamie simu zenye os ipi
wadau nataka na mm nihamie android kidogo maana saiz natumia symbian 40 ya nokia n3 sasa nna kama laki 2 hv na ishirini nimewaza kati ya huawei y200 na techno N3 sasa msaada wako hapa kwa ushauri...
Heshima kwenu wakuu
nina king"amuzi cha startimes cha toleo la kwanza kabisa cha mwaka 2011,yaani kabla ya kuhamia digital rasmi nilikwisha kinunua nikakitumia kama miezi 4 tu nikakitoa kwa...
Dear wana jamii maelekezo haya yatakuwezesha kudownload whatsApp for your iPhone free of charge (Mimi binafsi nimetoka ku download sasa hivi
Step One ; Launch Cydia by tapping on Cydia icon...
Kweli hawa jamaa (google) ni noma,hebu wanaJF tucheki na hii halafu ndio tupeane maujuzi na mustakabali wetu na hii teknolojia;
The highly hyped Google Glass has not yet been released to the...
habari wana jf,simu yangu nikiandika website inaniambia unsupported script au insuffient memory af inakata phone memory ni 497k so ni shida memory au ?af nawezaje kubadilisha screen yang cos touch...
Wakuu kwa mda mrefu nmekua niktmia laptop kwa ajil ya kuweka notice zangu na kusomea, bt ktokana usumbufu wa kuzunguka na laptop kila mahal nahtaj simu ambayo itaniwezesha kuweka notice na kuweza...
wakuu name leo nimehamia kaulimwengu cha blackberry nimenunua kwa mtu sasa nashindwa kuunga net nimenunua bundle ya bb ila haifungui chochote ila jamaa yeye alikua anatumia tigo sasa tusaidiane...
Heshima kwenu nduguzangu
Samahani najua hapa kuna wadau wa mambo ya IT na mambo mengine mazuri
Nina PC yangu ni ASUS ina HDD 250, PROCESSOR@ 1.67, 32-BIT OPERATING SYSTEM, na RAM ya IGB...
Naomba kujua tofauti ya 32bit na 64 bit.
Ni katika computer za aina gani au windows zipi ndo hutumika au kupatikana.
Kazi zake au faida za hyo kitu ni ipi kutokana na utofauti wake?