Msaada tafadhali, je kuna software inayoweza kusaidia ku boost speed ya pc??

commited

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Posts
1,622
Reaction score
872
Heshima kwenu nduguzangu

Samahani najua hapa kuna wadau wa mambo ya IT na mambo mengine mazuri
Nina PC yangu ni ASUS ina HDD 250, PROCESSOR@ 1.67, 32-BIT OPERATING SYSTEM, na RAM ya IGB, nimeitumia kama mwaka sasa, sasa kwa siku za hivi karibuni imekuwa slow sana, niimehangaika kuulizia ulizia kwa jamaa wananiambia lazima ninunue RAM nyingine yakuanzia 2GB na kuendelea,

Nimeona kabla ya kufika kununua RAM mpya etc, nikaona niulize wadau hapa JF (KISIMA CHA MAALIFA) kama mnaweza nisaidia kupata labda software kama zipo za kuboost pc, maana sometime hata kuzima inachelewa kidogo, kufungua mafaili inasikilizia sana, na uki fanya komandi kama 3 hivi kwa haraka haraka pasi ndio inachanganyikiwa kabisa.

Msaada tafadhaili

Cc. C6, Fadhili Paulo, sijui nini,ejoka, chief-mkwawa... et al
 
google ilipoenda hewani ndio ulikuwa mwisho wa kuuliza, muda uliotumia kuandika hiyo paragraph, ungegugo tayari ungekuwa na majibu ya kesi yako.
 
mkuu nashukuru kwa majibu

lakini nime google sana napata pc booster free software,, lakini kiukweli hazisaidii na nyingine zinahitaji key namba, na zingine ununue etc, so ndio maana nimekuja humu coz kunawadau wana software genuine free kabisa... thanx hata hivyo kwa mawazo yako.. pamoja
 
Heshima kwenu nduguzangu

Samahani najua hapa kuna wadau wa mambo ya IT na mambo mengine mazuri
Nina PC yangu ni ASUS ina HDD 250, PROCESSOR@ 1.67, 32-BIT OPERATING SYSTEM, na RAM ya IGB, nimeitumia kama mwaka sasa, sasa kwa siku za hivi karibuni imekuwa slow sana, niimehangaika kuulizia ulizia kwa jamaa wananiambia lazima ninunue RAM nyingine yakuanzia 2GB na kuendelea,

Nimeona kabla ya kufika kununua RAM mpya etc, nikaona niulize wadau hapa JF (KISIMA CHA MAALIFA) kama mnaweza nisaidia kupata labda software kama zipo za kuboost pc, maana sometime hata kuzima inachelewa kidogo, kufungua mafaili inasikilizia sana, na uki fanya komandi kama 3 hivi kwa haraka haraka pasi ndio inachanganyikiwa kabisa.

Msaada tafadhaili

Cc. C6, Fadhili Paulo, sijui nini,ejoka, chief-mkwawa... et al

hiyo 32 bit os ni xp au windows 2000?
 
Kama unatumia windows xp basi jaribu hii HAPA, mimi naitumia siku zote na pc haisumbuwi, ina mode 2 Simplified na Expert, kwa mara ya kwanza i-run katika expert mode, pia niambie unatumia antivirus na firewall gani nikusaidie zaidi.
 
hiyo 32 bit os ni xp au windows 2000?

sijui nitakuwa sahihi, maana si mtaalamu sana wa pc, but nimecheki katika properties za computer inaniambia ni windows 7 starter.. sasa sijui ndio ulihokua unataka mkuu??
 
Mimi mwenyewe na tatizo kama hilo. Natumia w7 home basics, pc ni dell insipiron min, ram 1 gb, processor 1.67 ghz, hdd 229 gb, ant- virus avast. Naombeni msaada wenu.
 
Endelea na hiyo software niliku-recommend na uzuri ni free na wala haisumbuwi. kumbuka kuniambia antivirus na firewall unazotumia.

sijui nitakuwa sahihi, maana si mtaalamu sana wa pc, but nimecheki katika properties za computer inaniambia ni windows 7 starter.. sasa sijui ndio ulihokua unataka mkuu??
 
Avast inatumika na watu wengi sana duniani ila inataka uwe unai-update kila mara, nakushauri utumie na ile internet security yao. Lakini kitu kingine kibaya kwa avast ni ule ukubwa wake, ni kubwa avast nadhani ni zaidi ya mb 200 kwa sasa na inalazimisha iwepo kwenye start up programs. Fanya usafi wa pc yako kwa kutumia hiyo software hapo juu na ulete feedback

Mimi mwenyewe na tatizo kama hilo. Natumia w7 home basics, pc ni dell insipiron min, ram 1 gb, processor 1.67 ghz, hdd 229 gb, ant- virus avast. Naombeni msaada wenu.
 
Kama unatumia windows xp basi jaribu hii HAPA, mimi naitumia siku zote na pc haisumbuwi, ina mode 2 Simplified na Expert, kwa mara ya kwanza i-run katika expert mode, pia niambie unatumia antivirus na firewall gani nikusaidie zaidi.

thanx kwa hiyo software (Advanced system care), ngoja niitumie then nitakupa feedback mkuu.. asante sana natumia AVG Internet security Business Edition 2012
 
Avast inatumika na watu wengi sana duniani ila inataka uwe unai-update kila mara, nakushauri utumie na ile internet security yao. Lakini kitu kingine kibaya kwa avast ni ule ukubwa wake, ni kubwa avast nadhani ni zaidi ya mb 200 kwa sasa na inalazimisha iwepo kwenye start up programs. Fanya usafi wa pc yako kwa kutumia hiyo software hapo juu na ulete feedback

poa ngoja nijaribu
 
Back
Top Bottom