msaada kuunga internet kwa blacberry

msaada kuunga internet kwa blacberry

Hansy wa East

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2012
Posts
446
Reaction score
232
wakuu name leo nimehamia kaulimwengu cha blackberry nimenunua kwa mtu sasa nashindwa kuunga net nimenunua bundle ya bb ila haifungui chochote ila jamaa yeye alikua anatumia tigo sasa tusaidiane jaman maana me ndo mara yangu ya kwanza kushika hii kitu.
Natanguliza shukrani,
 
Internet ya hiyo blackberry unapo unga ile bundle yake unatoa better kisha unairudishia kama itagoma nabidi uende ofice za huo mtandao unaotumia wakuwekee ile bundle ya elfu 6 au zaidi utakuwa unakula maisha kiulaini mimi pia yangu ilikuwa hivyo nikaenda vodacom mambo shwari
 
wakuu name leo nimehamia kaulimwengu cha blackberry nimenunua kwa mtu sasa nashindwa kuunga net nimenunua bundle ya bb ila haifungui chochote ila jamaa yeye alikua anatumia tigo sasa tusaidiane jaman maana me ndo mara yangu ya kwanza kushika hii kitu.
Natanguliza shukrani,

Bundle ipi umenunua?

Kuna bundle za bb(bis) tofauti na bundle za internet(kitaalam wanaita carrier internet)

For blackberry with OS 7 and below you need connect with the BIS bundles

For Blackberry with bb10 os

It uses both carrier internet and bis
 
Back
Top Bottom