Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

huu mkongo wa taifa wa mawasiliano je umeanza kutumika? Kama ndio kuna tofauti gan na mwanzo kabla haujaanza kutumika! Wanaofaham watujuze!!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau habari za kazi. Naomba mwenye maujuzi ya namna ya kununua internet bundles kwa kutumia Nexus 7 4 G katika mtandao was vodacom. Ikumbukwe kuwa nexus haina features za kupiga simu wala kutuma...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
...Lakini uzinduzi huo wa 4G uendane sambamba na usambazaji wa huduma ya 3G nchi nzima huku ikifuatiwa nyuma na hiyo mpya ya 4G maeneo mengi kadiri iwezekanavyo na siyo katika baadhi ya miji...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Jamaa wameshaiingilia Tueuse Cracker:~
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wanajf. Hv naomba msaada kama kuna mtu anaweza kunisaidia maujanja jinsi ya kuirudisha laptop iliyoibiwa au hata kumtambua mwizi wangu.. unaweza hata kunipm au kuanika hapa jamvini.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hey people, jaribuni nanyinyi mimi nahisi nina usingizi nimeshindwa kuelewa kwanini inakua hivi. Step one: Open VLC media player Step two: press Ctrl N Step three: type screen::// Step four...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
hali zenu wanabodi. wakuu naomba kwa anayeweza kuniuzia adapter ambayo inaweza pokea input ya 110/240 v ac 50/60 na kutoa output ya 5Voltd dc na 0.5A naihitaji kwa haraka mno.inisaidie kwenye...
0 Reactions
1 Replies
931 Views
Jamani aliye na windows 8 iliyona full na key zake ani pm ili ninunue
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari Wadau Nilikuwa Naomba Mnielekeze Tofauti Kati ya tablet na I pad Na Bei Yake Hapo Kila Moja Hapa Tanzania Asanteni!!
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kwa wale walioanza kutumia, channel zipi zinapatika
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii kitu wale wahanga kama mm wakupenda Metro UI kiko hewani so tukisikilizie Wale wa 32bit seeders wachache mno kiasii cha kuchukua masaa 5 kuwa cached kwenye zbigz Wakati wale wa 64 bit kitu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kama mnavojua Tanzania ni nchi yenye vijana wengi wasio na ajira, vijana hawa walikuwa wamejipatia ajira kwa kutengeneza simu za mkononi tangu kuingia mwaka 1995 upande wa Analogia na mwaka 2000...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Mpo wanatekno?. Ebana kwa wale walioikimbia voda nakwenda airtell au wap kungne vile na kuweka zile moderm za voda kapuni. Chukua hii 10,000 unigeie iyo kitu. Njoo PM
0 Reactions
24 Replies
2K Views
naombeni msaada wakuu ku-unlock huawei ideos u8150 IMEI 355093044658371..... shukrani
0 Reactions
3 Replies
1K Views
simu yangu ni nokia n8 shida yangu nikitaka kufungu file inaniambia home screen memory full close application and try again hata nikidownload program inakataa naomba msaada wadau
0 Reactions
1 Replies
670 Views
Wadau nina hyo hela mwenye nayo mini laptop anitafute na aweke specification hapa nikikubali 2fanye biashara
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mi binafsi nategemea sana kusikiliza bunge nikiwa ofisini kupitia hii radio ya Online. Lakini hivi karibuni imekuwa haieleweki mara wapo hewani , mara hawapo. Naomba wahusika watuambie nini...
0 Reactions
0 Replies
823 Views
Wadau wa programming. Nina server-client application ambayo nimetengeneza kwa kutumia Python programming languange. Aplication ina server side na client side, zote nimetumia stream socket kwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
natumia nokia N73 lakini kwa siku mbili hz,inaonesha msg zmejaa kwenye simu yangu wakati hakuna msg hata moja,vilevile hata kusave number inagoma kuna msg inatoke"not enough memory check push to...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
laptop yangu LATITUDE E5510 nikichomeka cable ya ethernet LAN inablink vizuri lakini haiditect na hata ukiangalia kwenye network unakuta haipo lakini inablink... sasa sijajua tatizo nini msaada wadau
0 Reactions
0 Replies
652 Views
Back
Top Bottom