Mr Penal Code
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 823
- 216
Habari wadau Nina Laki Mbili Nataka Kununua Smart Phone Dukani je ni simu ipi inayoendana Na Bajeti Yangu na Simu ipi ni Bora na Nzuri Asanteni Sna!!!
Habari wadau Nina Laki Mbili Nataka Kununua Smart Phone Dukani je ni simu ipi inayoendana Na Bajeti Yangu na Simu ipi ni Bora na Nzuri Asanteni Sna!!!
kibongo bongo 2naibiana! Kwan ww upo wapii? Maana smu za kuuzwa laki 1 na nusu wabongo huwa wanataka wauze laki4
hiyo samsung 6312 duos now inapatikana bongo mkuu?Kwa ushaur wang kwa hiyo ela yako tafuta samsung galaxy 6312 duos..ni toleo jipya na imetulia....uwezo mzuri..camera 3mp...cpu 1ghz...ram 700mb..
Pouwer Wakuu asanteni sna Pia Kuna Hii simu inaitwa Samsung Galax Mini Pocket Hiii Ikoje
sio inapatikana bongo....hapa naitumia iko fresh sana!!!!hiyo samsung 6312 duos now inapatikana bongo mkuu?
hiyo ni simu nzuri ila sio kama galaxy 6312....alafu hata bei hazijapishana...ila kwa uwezo galaxy 6312 iko juu...Pouwer Wakuu asanteni sna Pia Kuna Hii simu inaitwa Samsung Galax Mini Pocket Hiii Ikoje