poposindege
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 456
- 175
wadau nimepewa modem ya vodaphone mobile broadband model K 3806,sasa nimejaribu kuinstall inakataa kuconect ili nipate 'wazungu'.Sijajua modem hii inafaa kutumika hapa kwetu TZ au la.Naomba wenye ujuzi na kujua hii modem wanihabarisheAsanteni sana