KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 278
Wana wa familia hii ya JF natumai mko poa,
Tafadhali naombeni kwa anayefahamu juu ya hili tatizo lililoikumba simu yangu ya Nokia101,nikiiwasha yanatokea maandishi ya LOCAL MODE basi halafu haiendelei inagomea hapo hapo tu,naombeni msaada wenu.