Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
Helow my People
Kuna katatizo haka nimekutana nako leo naka menikosesha TAKE HOME ya maana
Ni computer desktop inawaka afu kwenye screen inaonyesha Black lkn ukibonyeza
menu ya hiyo monitor kuna message ina pop up inasema "computer in power save mode press the power button or any key on the key board or move the mouse"
Ukifuata directions hizo hakuna response na ili kuitoa computer ktk power save mode inabidi upress Windows key+Enter lkn imekuwa helpless,
What would be wrong in this computer the battery in a motherboard?Or what problem?
YOU'RE WELCOME FOR CONTRIBUTION IT HAS HAPPENED TO ME TOMORROW IT MAY HAPPEN TO YOU