MSAADA: kuwezesha simu zinazopigwa kuingia line nyengine

MSAADA: kuwezesha simu zinazopigwa kuingia line nyengine

muudy

Senior Member
Joined
May 25, 2013
Posts
156
Reaction score
22
wana jforum nielewesheni ni vipi naweza kuzifanya call zinazoingia katika line kama haipatikani au simu imezimwa kuingia katika call kuingia direct katika line nyengine?
 
nenda ktk setting ya simu tafauta call setting,ingia kitu kinaitwa call divert,hapo utachaguwa ama divert when busy,divert when not answered,divert when phone off or no coverage nk.UKichagua options unayoitaka utaingiza namba ambayo utapenda ipokee pindi ukipigiwa simu uliyoidivert.Sijui nimeeleweka mkuu
 
nimekuelewa ila je unaweza kutumia huduma hii ya call divert kwa line za network tofauti? kwa mfano zantel kwa tigo au voda?
 
Unaweza divert line ya kampuni yeyote kwenda kwenye simu tofauti. Kitu cha msingi akikisha hiyo line inayodivert iwe na pesa ya kutosha au minutes za maongezi. Sababu hiyo line itakuwa inapiga simu kwako baada ya kupigiwa.
 
Back
Top Bottom