msaada: nini maana ya call waiting

msaada: nini maana ya call waiting

muudy

Senior Member
Joined
May 25, 2013
Posts
156
Reaction score
22
wana jf hebu nielewesheni katika simu nyingi ninazonunua katika call setting kuna huduma wanaita call waiting hivi maana yake ni nini na ina umuhimu gani?
 
ina maana ukipigiwa badala ya kuambiwa mtu kuambiwa namba ipo bize ataambiwa wait
 
Back
Top Bottom