Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 13,339
- 7,427
Unataka server iwe na GUI (kijani)? Why? Hapo ktk red unamaanisha web server kama Apache? Anyway it is possible ila sioni kwa nini utake kufanya hivyo!
Majukumu! Kila lakheri Precise pangolin 🙂Wakuu hamna majibu ngoja niwahi forum za Nje
Mkuu ninayo hardware moja mkuu lakini nataka iwe na server zaidi ya moja (ubuntu server na windows 2012 serverUnataka server iwe na GUI (kijani)? Why? Hapo ktk red unamaanisha web server kama Apache? Anyway it is possible ila sioni kwa nini utake kufanya hivyo!
Majukumu! Kila lakheri Precise pangolin 🙂
Why? Apache can run on Windows server or Ubuntu one and so is many other applications. Its like "I have a new house I want LG fridge as well as ZTC" It does not make much sense to me!Mkuu ninayo hardware moja mkuu lakini nataka iwe na server zaidi ya moja (ubuntu server na windows 2012 server