Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Elon Musk hana ujuzi wa maswala yote yanayohusiana na mitandao ya kijamii kwasababu amekuwa na tabia za childish tangu awe mkurugenzi wa kampuni ya Twitter. Kwa kawaida mtu anaponunua kampuni...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu nimepata changamoto katika Google pixel 6 yangu kama ifuatavyo; simu yangu baada ya kuifayia factory reset imeleta hio error. Nimejaribu kuwa contact google kwenye email yao kama...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari wakuu, Naombeni msaada wenu. Nimenunua kisimbuzi cha antena cha Azam bila antena nimekuja nacho kibaha nikaunganisha kwenye antena. Cha ajabu zinakuja channel za startimes na nimejaribu...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Kampuni ya apple inatoa toleo jipya la iOS 17 ili kuweza kutatua changamoto ya simu za iphone 15 pro kupata sana moto kupita kiasi. Toka iphone 15 zilizopotoka watu wengi wamelalamika sana kuhusu...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Tanzania is the latest African country that is embracing the technological digital currency revolution as it shows some impressive growth, despite the small numbers. In Africa, it is Kenya...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Kufikia jana Whatsapp za Tanzania zilianza kupokea updates mpya ya Channels, kwenye sehemu ya chini ya Whatsapp Status. Utakuwa na uwezo wa kupata Habari kupitia Channels utakazoamua kuzifollow...
4 Reactions
45 Replies
3K Views
Mvumbuzi wa Ghana [emoji1110], Danny Manu ametengeneza vifaa vya masikioni visivyotumia waya, vinavyoweza kutafsiri kiotomatiki zaidi ya lugha 40. Wale Dj wa kutafsiri naona vibarua vimeshaota...
11 Reactions
30 Replies
2K Views
The US Department of Defense (DoD) is exploring the possibility of developing a large-scale network of AI-powered technology, drones, and autonomous systems to counter threats from China within...
0 Reactions
4 Replies
706 Views
Habari wakuu wa technology humu jukwaani naomba kujuzwa kuhusu hii simu nataka niichukue wiki hii, camera uwezo wake maana ni ya biashara na uwezo wa vitu vingine pamoja na changamoto zake Sent...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Ukubwa wa simu yangu ni gb 32 Infinix hot 9 . Nimejaribu kufuta kila kitu Sina video Wala picha yeyote lakini nikitaka hata kupiga picha tu inaniandikia storage full, naomba msaada wenu wa setting..
9 Reactions
109 Replies
5K Views
Wakuu habari, Naombeni ushauri wenu,ninataka kushift kutoka oppo A52 ninayotumia sasa kwenda Redmi Note 12, nimepitia review zake GSM Arena, nineona wadau wanaiponda sana, nafikiria pengine...
8 Reactions
77 Replies
7K Views
Simu za iPhone 15 & iPhone 15 pro ambazo zimeingizwa sokoni hivi karibuni zimelalamikiwa na baadhi ya watumiaji wake kuwa na msululu wa matatizo Watumiaji wengi wa simu hizo toka kampuni kinara...
10 Reactions
59 Replies
4K Views
Msaada namna ya ku-download HD YouTube videos kwenye Pc wadau. Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
18 Replies
12K Views
Hivi unajua Kuna bulb ambazo ni za kisasa unaweza ku control kupitia simu Yako kwa kufanya shughuli mbalimbali kwa urahisi Kwenye simu. Moja Kati ya jambo zuri ni kuifanya nyumba Yako kuwa ya...
4 Reactions
2 Replies
879 Views
Naombeni msaada kutumia TorghostNG tool kwenye Oracle VM, pia Github remote verification ni tatizo naomba script zake tafadhali kwa mwenye kufahamu.
0 Reactions
0 Replies
541 Views
Swali langu: Bard angalia hizi data zinaonyesha matokeo ya darasa la saba ya mwanafunzi kutoka Tanzania. Kiswahili-C, English-D , Maarifa-D, Hisabati-C, Science-C, Uraia-D. Je kulingana na...
7 Reactions
53 Replies
3K Views
Programming Language Dart IDE for development VsCode Android Studio intellij User Interface Widgets statefull widget stateless widget accessibility...
3 Reactions
1 Replies
941 Views
Nataka nifungue blog ya confession ( kutubu) Watu wawe wanasign annonimous kwa ajili ya kutubutu au kukiri jambo fulani ambalo alifanya siri!!โ€ฆ Watu wengi miaka ya leo wanaugua pressure na...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Ule mpango wa binadamu wa kuweza kuishi nje ya sayari yake asili unaonekana uko mbioni kukamilika. Kampuni binafsi ya Space X inayojihusisha na masuala ya anga(ambayo kwa sasa ina tender ya...
0 Reactions
39 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ