Jifunze kutengeneza Video Subtitles siku moja tu kwa 5000

Sea Beast

JF-Expert Member
Aug 5, 2022
1,890
4,057
Habari, wale wanaotaka kujifunza Video Subtitles nafundisha mafunzo hayo kwenye group la Telegram maelekezo yote nimeweka humo.

Video Subtitling inasaidia kupata kazi za onliy Kama Upwork, kupata gigs za kutengeneza movie subtitles, video subtitles za YouTuber mbalimbali unaweza omba kazi umfanyie nk
Screenshot_20231113-150953.png

MALIPO ni 5000 kuungwa kwenye mafunzo
 
View attachment 2812679
MALIPO ni 5000 kuungwa kwenye mafunzo
Hivi nyie vijana! Hizi white collar job hamtoboi ng'o! Tatua changamoto zinazokabiri jamiii mojakwamoja! Tengeneza madawati kwa bei nafuu uzia shule za msingi! Shule za msingi michango kama yote kuchangia ununuzi wa madawati!
 
Back
Top Bottom