Mmmh mkuu... kwanini usimuambie ajifunze Python tu... naona umeingia deep sana kwenye programmingNjia nzuri kabisa nakupa..Kwanza nikuweke wazi tu kama ndio unaanza achana na mawazo ya kupata hela kabisaa..yani kama unafikiri ukijua code ndio utapata pesa basi tafta mambo mengine ya kufanya
Pili,Muda ndio mtaji mkubwa ikifatiwa na Practise za kutosha..kama kwa siku itabidi upate walau masaa 3-5 ya kujifunza coding..yapo mengi lakini niishie hapo twende kwenye kiini
RoadMap
Binafsi nilijaribu sana kufanya coding miaka ya zamani.ila nikakosa roadmap nzuri..Kila kitu unaona kinalipa Unatamani Web developer uwe wewe App developer uwe wewe ,Hacker uwe wewe..hii inaishia kuruka na kuacha vitu..
Point yangu ni kwamba
Kwanza Jitambue unataka ufanye nini kwenye programming.maana ni uwanja mpana sana..unaweza kuwa Web developer,App dev,UI/UX,Data science n.k n.k ukishachagua hapo sasa ndo utaanza safari kwa vitendo
*No matter unataka niche gani lakini anza na simple web apps hapa utasona
1.HTML
2.CSS
3.Javascript (juu juu)
Ukishazijua hizi basi utaweza kusoma language nyingine na framework bila shida sana.
Unaweza kuendelea na
4.PHP
5.React js,Next.js
6.Laravel ila haya yote lazima ujue javascript hata basics tu
Ukishamaliza web dev unaweza kuendelea na App dev hapa usome Flutter,java au Kotlin
Pakusomea?
Inategemeana na tutorial uzipendazo kama ni Video au document ni wewe tu
Kwa video youtube zipo nyingi sana kuna
1.FreeCodeCamp
2.Travis Media.
3.Code with T.
4.Ninja dev
Na wengine wengi..uzuri wa hizi tutorial wanafanya kwa vitendo So unaweza kuwa unawafatilizia kila kitu wafanyacho apo utapata idea tu
So atadevelop web kwa python??Mmmh mkuu... kwanini usimuambie ajifunze Python tu... naona umeingia deep sana kwenye programming
So atadevelop web kwa python??
Mbona hapo ndo penyewe alipomwelekeza...!?, mi mwenyewe ndo njia nayopitia, nilianza na HTML,CSS na JavaScript nimeamua kuwa deep kabisa, ndo nimezama kwenye reactjs saivi, nkimaliza hapo naendelea na Next m, Express then Database.Mmmh mkuu... kwanini usimuambie ajifunze Python tu... naona umeingia deep sana kwenye programming
Sada mkuu kama utajifunza SQL baada ya backend sasa data zako un save wapi?Mbona hapo ndo penyewe alipomwelekeza...!?, mi mwenyewe ndo njia nayopitia, nilianza na HTML,CSS na JavaScript nimeamua kuwa deep kabisa, ndo nimezama kwenye reactjs saivi, nkimaliza hapo naendelea na Next m, Express then Database.
python hosting ni expensive sana ni sawa na rails kwa maanda database opo separate kama utatumia postgresql in range 7USD - 24USD, static storange per month ni 5USD , VM Instance ni kama 25USD per month kama huna hela nenda na php, python django ni kwaajili ya production kwenye firmsWanasema eti php ku host web ni cheap kuna ukweli hapa au ni watu wanapenda tu kukaza fuvu
muongoNi mbadala wa kila kitu
Asante, naona sasa itabidi kumbe ni ingie Database mkuu, asante sana.Sada mkuu kama utajifunza SQL baada ya backend sasa data zako un save wapi?
python hosting ni expensive sana ni sawa na rails kwa maanda database opo separate kama utatumia postgresql in range 7USD - 24USD, static storange per month ni 5USD , VM Instance ni kama 25USD per month kama huna hela nenda na php, python django ni kwaajili ya production kwenye firms
Mbona isiwe python ndo language ya kwanza mkuu. Ushauri wakoNjia nzuri kabisa nakupa..Kwanza nikuweke wazi tu kama ndio unaanza achana na mawazo ya kupata hela kabisaa..yani kama unafikiri ukijua code ndio utapata pesa basi tafta mambo mengine ya kufanya
Pili,Muda ndio mtaji mkubwa ikifatiwa na Practise za kutosha..kama kwa siku itabidi upate walau masaa 3-5 ya kujifunza coding..yapo mengi lakini niishie hapo twende kwenye kiini
RoadMap
Binafsi nilijaribu sana kufanya coding miaka ya zamani.ila nikakosa roadmap nzuri..Kila kitu unaona kinalipa Unatamani Web developer uwe wewe App developer uwe wewe ,Hacker uwe wewe..hii inaishia kuruka na kuacha vitu..
Point yangu ni kwamba
Kwanza Jitambue unataka ufanye nini kwenye programming.maana ni uwanja mpana sana..unaweza kuwa Web developer,App dev,UI/UX,Data science n.k n.k ukishachagua hapo sasa ndo utaanza safari kwa vitendo
*No matter unataka niche gani lakini anza na simple web apps hapa utasona
1.HTML
2.CSS
3.Javascript (juu juu)
Ukishazijua hizi basi utaweza kusoma language nyingine na framework bila shida sana.
Unaweza kuendelea na
4.PHP
5.React js,Next.js
6.Laravel ila haya yote lazima ujue javascript hata basics tu
Ukishamaliza web dev unaweza kuendelea na App dev hapa usome Flutter,java au Kotlin
Pakusomea?
Inategemeana na tutorial uzipendazo kama ni Video au document ni wewe tu
Kwa video youtube zipo nyingi sana kuna
1.FreeCodeCamp
2.Travis Media.
3.Code with T.
4.Ninja dev
Na wengine wengi..uzuri wa hizi tutorial wanafanya kwa vitendo So unaweza kuwa unawafatilizia kila kitu wafanyacho apo utapata idea tu
Kweli mkuu self taught beginner sio poa . unaweza kukata tamaa mapemaLa kuongezea, unapokua unajifunza kwa kupitia video, hakikisha unaangalia video yote kwanza kwa umakini bila kufatisha anachofanya practically. Hapo utapata picha tutor kitu gani anajaribu ku achieve/kuongelea, ukishapata idea then rudia video kwa kufatisha anachofanya.
Lakini akiwa anatype wewe una pause video then na wewe unatype(code) ni vigumu sana kuelewa anachofanya kwa beginner.
Kumbe hujui kama inawezekana kutumia python kutengeneza website??So atadevelop web kwa python??
Najua inawezekana na kila mtu ananjia yake kwenye hii game..So mimi nimeona muongozo mzuri ni kuanza na Html,css,js ambayo ndio njia hata mabibu walianza nayo.huwezi kuanza kumfundisha mtu Data type,Var na takataka nyingine wakat hajui hata website inafanyaje kaziKumbe hujui kama inawezekana kutumia python kutengeneza website??
Ni sawa mkuu, lakini bado ni maoni yako, kuna wengine na sisi tunaona tofautiNajua inawezekana na kila mtu ananjia yake kwenye hii game..So mimi nimeona muongozo mzuri ni kuanza na Html,css,js ambayo ndio njia hata mabibu walianza nayo.huwezi kuanza kumfundisha mtu Data type,Var na takataka nyingine wakat hajui hata website inafanyaje kazi