Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Anayejua link ya kudownload mortal kombat 9 naomba msaada jamani
0 Reactions
4 Replies
890 Views
nimepata simu ila ina MOVISTAR kitu kinacho ifanya isi accept setting za internet mitandao ya nyumbani kwa yoyote mwenye utalaam wa kufanya simu hii ikubali internet naomba anisaidie namna ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
jamani nahitaji msaada jinsi ya kuunlock nokia E90 kuna mtu ameichokoa akaweka wrong password, msaada wanajamii
0 Reactions
0 Replies
656 Views
Mi na shida kidogo kuna vitu nikiistal kwenye my fon (samsung gallaxy s iii mini) naambiwa co rooted phone..so nafanyaje ili iwe rooted phone plz anayejua anisaidie
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu nawasalim... Naomben mwenye kujua vzur juu ya hz cm za htc nimeziona ila bado Sijajua features zake vuzur. pia nahitaji kufahamu kama zipo za double line au vp Nawazilisha....
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Nina equipments mbili nilizokua nazitumia ku connect internet kupitia kampuni ya iway africa (Afsat communications) Kwa sasa nimesitisha huduma na hivyo nauza hizo equipments kwa mtu au taasisi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimeuziwa hii simu ila ilikua Note For Sale kwa maana ya kuwa ilikuja kama sample. Sasa sehemu ya kuweka sim card imefungwa na pia tundu la line ni dogo sana. Wataalam naomba maujanja yenu tafadhali
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Soma IT nyumbani kwa muda unaopenda mwenyewe - Video training courses hizi hapa. Jifunze kozi yoyote ya IT popote ulipo without need to attend daily classes! alphonce.NET - IT video training site
0 Reactions
17 Replies
2K Views
natumia huawei ascend y300 ambayo ina android jelly bean. nimekua napata usumbufu kwenye kudownload. wakati mwingine inakua slow, wkt mwingine inakataa kabisa. cha kuchangaza speed ya kuload...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habarini za jioni wakuu!ninaomba msaada anaeweza nijuza jinsi ya ku crack m/s office 2013 maana nili download bila ya kuiactivate na mda wake wa majaribio umeisha so inanisumbua na nitshukuru sana...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
najua watu wengi humu munazo simu za symbian (maarufu n na e series) na muna apps nyingi lakini leo ntawapa app chache za symbian ambazo ni very important na nkipata mda zaidi nta update 3d...
1 Reactions
98 Replies
14K Views
Nimekuwa nikijiuliza hili swali binafsi bila kupata majibu leo nimeona niwaulize wataalamu naamini nitapata majawabu kama sio majibu! Je, kwa nini unapochomeka ''baterry'' kwenye Laptop huwa...
0 Reactions
0 Replies
801 Views
za majukumu membez wa jf.... Naomba kwa mwenye kuijua vizuri hii simu anisaidie,maana nimeona kwenye picture tu, nimejaribu ku google lkn kiu yangu ya kuijua zaidi haijaisha, nawakilisha....
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu wana jf nimefungua email ya gmail lakini tatizo haiattach icture wala file lolote,naomba msaada. Asante
0 Reactions
2 Replies
977 Views
Wasalaam wakuu wa kazi a.k.a JM Members Naomba msaada tutani, I'm trying to get my phone working with my laptop, but when I try to get bluetooth working I have a missing Bluetooth Peripheral...
0 Reactions
1 Replies
807 Views
Nimeitumia hii application kwa wiki sasa ni nzuri lakn naona bado inabugs nyingi. 1.Inacrush sana.. 2.Inaload muda mrefu sana. 3. Na zile animoticons (:) ) zinaonekana nusu. 4.Inasumbua...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
natumia tecno p3,msaada tafadhali,manake nataman sana kufanya screen shot kwenye cm yangu
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Hapo kipindi cha nyuma simu zenye maumbo makubwa hazikuwa zinapendwa na watu wengi, zilikua zikichukuliwa kama kero hasa sababu kubwa nyingi kuwa ni vimeo za kichina. Ila kwa sasa makampuni ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Aisee original products zinatubagua sisi masikini. Nimenunua Home Theatre ya RCA Model STS8317W ina FM/DVD Player ktk receiver yake, nilikua nimeBurn viDVD na viCD vyangu ili nianze kupata...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
wale wanao tumia vifurushi vya airtel kaeni makini sana. wanaibaje?- Hawa jamaa ukijiunga na kifurushi cha siku, wiki au mwezi huwa wana disconnect kabla muda uliolipia haujaisha hasa kama simu...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…