Rooted phone

Rooted phone

Playboy

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
1,170
Reaction score
945
Mi na shida kidogo kuna vitu nikiistal kwenye my fon (samsung gallaxy s iii mini) naambiwa co rooted phone..so nafanyaje ili iwe rooted phone plz anayejua anisaidie
 
emb gugo kwanza kabla haujaja na mapov hapa

mkuu kam unajua si umsaidie tu.. pengne anapaamini hapa zaid ya google.. au lugha ya kule gugo inampa tabu,, acha hzo yahee
 
mkuu kam unajua si umsaidie tu.. pengne anapaamini hapa zaid ya google.. au lugha ya kule gugo inampa tabu,, acha hzo yahee

atleast aoneshe effort kutafuta kwanza, mwisho wa siku itakuwa ukishindwa kutuma ujumbe unakuja jf, ukiishiwa bando unakuja kuuliza wanajiungaje, kashindwa hata kutafuta kwenye gugo ya jf? mbona zipo makala mingi tu zikielekeza rooting
 
Sio kwamb me ctak kumsaidia bt kama aki gugo atapata k2 fulan cha kuanzia,akija hapa akielekezwa itakwa rahc kwake kuelewa what we talkimjg about, au kama vp a serch nen phne root atapata nyuz kibao zpo humu
 
Kwani wataka fanya nini hadi uroot hiyo simu?
Pitia google utaelewa maana ya rooting,faida na hasara, na jinsi ya ku root
 
emb gugo kwanza kabla haujaja na mapov hapa

hapo kwenye red ...du ni hatari
Lkn google kuna uongo na Ukweli kwa hiyo naona sio vizuri kama ni hivyo hamna haja ya kuwa na jukwaa kama hili
Vitu kama ku Root simu ni topic za muhimu kwa hiyo usimlook down jamaa

Na mm nina ka TECNO P3 kama kuna anayejua ku root anisaidie hata peso ntatoa

Google nimesoma lkn ile method ya POOt sikufanikiwa
 
Yan umenishambuliaaaa?!!!!! kumbe nawe wataka?!!! kwan vp hyo p3 ina tatz gan c umechukua jana tu man?!!
Me nakushauri achana na mamb ya ku root maana unaweza ukaipatia ikawa poa bt likbuma utakoma.

Cha msing ridhka na ka phne 2 man haya ma rooting n karata
 
Mishe zangu naona bora ni root
Sababu natakaka kutumia Droid VPN
 
Mi na shida kidogo kuna vitu nikiistal kwenye my fon (samsung gallaxy s iii mini) naambiwa co rooted phone..so nafanyaje ili iwe rooted phone plz anayejua anisaidie

Mkuu sakama google kama unajua model ya simu yako
Mimi nimefanikiwa kwa Tecno n3
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1372963306530.jpg
    uploadfromtaptalk1372963306530.jpg
    21.3 KB · Views: 8,992
Tafuta na google how to unlock tecno n3

Ok Playboy

Embu ngja nikupe detail kdogo fanya mfano mdogo hapa
-Kwanza tafta file kwaajil ya hyo galax,na uli download

2. Hilo file unatakiwa uli unzip kupitia pc yako

3. Ukisha unzip hyo file nenda kalicopy kwenye sd card ya cm yako from pc

4. Afta that unatakiwa u swtch cm yako kwen bootloader kwa kuizma cm yako,halaf bonyeza volme butn ya kuongezea ya + , kaa kwa sekund tano,utaona phne yako inaenda kwenye mode ya booting.

5.Then conect ua phne through usb and run a. Run adb-
windows.exe
b. Run fastboot-
windows.exe
c. Run install-
recovery-windows.exe
Use the
different variations
depending on the
operating system

Mara nying huwa inakuja hyo ya "c"
6. Once done,
Toa bettry ya cm ili kuzma cm

7. Boot into recovery
using volume up +
power button for 5
sec
Should look like this

8. Navigate to "install
zip from sd" and
select it

9. Select "choose zip
from SD card" and
select the provided
Superuser-3.0.7-
efghi-signed.zip that
you
copied to the SD
Card

10. after install, the
phone is rooted.

Kwa maelezo zaid piga hapa,maan hapo juu nimefanya sumar,
..gusahapa
 
Last edited by a moderator:
hapo kwenye red ...du ni hatari
Lkn google kuna uongo na Ukweli kwa hiyo naona sio vizuri kama ni hivyo hamna haja ya kuwa na jukwaa kama hili
Vitu kama ku Root simu ni topic za muhimu kwa hiyo usimlook down jamaa

Na mm nina ka TECNO P3 kama kuna anayejua ku root anisaidie hata peso ntatoa

Google nimesoma lkn ile method ya POOt sikufanikiwa

Ule bozz wa P3 anaweza zaidika,,,,,,,akiwa online anitell 2root iyo cm yake mara iyo iyo..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom