Hii ndio hasara ya kununua Original Products.

PistolGang

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2013
Posts
392
Reaction score
44
Aisee original products zinatubagua sisi masikini.
Nimenunua Home Theatre ya RCA Model STS8317W ina FM/DVD Player ktk receiver yake, nilikua nimeBurn viDVD na viCD vyangu ili nianze kupata burudani hapa nyumbani. Aisee nimegomewa haitaki burned DVD!, roho inaniuma ile kuuliza naambiwa mpaka DVD/CD original zenye nembo ya DOLBY na ndio nazisikiliza now..
MASIKINI WEEE!.
 
Ukiamua kutumia original products basi ukubali accessories na vikorombwezo vyote vinavyohusiana na hizo product original navyo viwe original pia!
Pole sana!
 
usa due to copywrights issues dvd player zao zina chip programed kukataa copied cds/dvd mchina yeye awezi kwenye zake nunua mchina
 
ASANTE SANA, lkn nahisi ndio step nyingine ktk maisha yangu ngoja nikomae.
 
usa due to copywrights issues dvd player zao zina chip programed kukataa copied cds/dvd mchina yeye awezi kwenye zake nunua mchina

Hapo nimekuelewa mkuu, ila sirudishi nitakomaa i was said goodbye mchina.
 
Aisee original products zinatubagua sisi masikini.
Nimenunua Home Theatre ya RCA Model STS8317W ina FM/DVD Player ktk receiver yake, nilikua nimeBurn viDVD na viCD vyangu ili nianze kupata burudani hapa nyumbani. Aisee nimegomewa haitaki burned DVD!, roho inaniuma ile kuuliza naambiwa mpaka DVD/CD original zenye nembo ya DOLBY na ndio nazisikiliza now..
MASIKINI WEEE!.
Nimefarijika kujua kuwa nina wenzangu katika kadhia hii,japokuwa kwangu muathirika mkuu ni mamie wana na wanawe ndio waliokuwa wananipigia kelele za 'inachagua!"mpaka nikawanunulia dvdplyer mchina na kuiunganisha na home theatre kama amplifier!
 
Kweli, afu kumbe kuigeuza amplifaya nayo inaweza kusolve..umenipa wazo ngoja namimi nijipange kwa hilo.
 
Ndio unafanya audio kutoka mchina player unaingiza kwenye home theatre yako na ule wa video unaupeleka mojakwa moja from mchina to tv ,home theatre unaiset kwenye auxiliary function 1 or 2 depending input ya audio yako nii ipi na wala isikusumbue kama 1 hupati sauti basi itakuwa ni 2.
 
Tafuta RCA ya bei ndo zipo hapa zinacheza kila aina ya DVD/CD/BR nk harafu bei yake ni only $29.00 lakini zile za bei ya juu hazikubari kucheza dvd/cd za kuburn.
 
Back
Top Bottom