Je, kwa nini hii hutokea kwenye laptop?

Je, kwa nini hii hutokea kwenye laptop?

Chemiker

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2013
Posts
506
Reaction score
108
Nimekuwa nikijiuliza hili swali binafsi bila kupata majibu leo nimeona niwaulize wataalamu naamini nitapata majawabu kama sio majibu! Je, kwa nini unapochomeka ''baterry'' kwenye Laptop huwa kile kitaa cha ku'alert charging' huwaka na kuzima mara ''battery'' inapokuwa ''fixed'' kwenye laptop?
 
Back
Top Bottom