Msaada, tecno f7

Msaada, tecno f7

Pindima

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2011
Posts
347
Reaction score
82
za majukumu membez wa jf....

Naomba kwa mwenye kuijua vizuri hii simu anisaidie,maana nimeona kwenye picture tu, nimejaribu ku google lkn kiu yangu ya kuijua zaidi haijaisha,

nawakilisha....
 
unataka kujua nn hasa e.g ufanis, betri, camera,memor au nin
 
Aya cheki hzo appo spec zake





FULL PHONE FEATURES
OF TECNO F7 aka
Phantom A1 SMART
PHONE


1 GHz quad-
core processor
Android v4.1.2
Jelly bean

Single SIM
functionality
with option of
dual SIM
version

Front-facing
VGA camera
2.0MP
optimized for
video calls

8MP camera
with LED flash
(Fixed focus)

5.0
inch Capacitive
Touch Screen

Up to 21Mpbs
downloads
speeds on 3G
networks
GPRS/EDGE/3G/
Wi-Fi internet
connectivity

MP4/3GP video
player with
support for
more codecs
through third-
party
applications

Stereo FM radio
and MP3 AMR,
WAV AAC,
MP3,MIDI,OGG… player,
background
playback, and
album art cover

1Gb RAM

3.5mm audio
jack

8GB microSD
provided free
with every
Tecno N7
phone
External
memory card
slot with
support up to
32GB microSD
cards

4GB internal
memory (about
2GB available to
the user)

WIFI, Bluetooth
3.0, USB

Battery
Capacity BL-4M
(2300mAh)

G-sensor, Light
Sensor,
Proximity
Sensor

Pre
Installed Google applications
like
Gmail,YouTube,
Calendar,
Search etc
3D games
support like
Fruit Ninja,
Angry Birds,
Gta, Talking
Tom…

Full access
to Google Play
Store with over
500,000
applications
available for
downloads
 
hii simu ina contradiction balaa kila sehemu na specs zake utafkiri wanatunga.

hivi hawa techno hawana official site?
 
hii simu ina contradiction balaa kila sehemu na specs zake utafkiri wanatunga.

hivi hawa techno hawana official site?

Mkuu umepata update mpya ya play store, hapa naona movie music, magazine na books ila vyote hela vitabu tu ndo kuna vya bure?
 
hii simu ina contradiction balaa kila sehemu na specs zake utafkiri wanatunga.

hivi hawa techno hawana official site?

mkuu wanaposema
touchscreen with 256,000
colors,
na touch-screen 16m colors huwa anamaanisha nn?!! Na ipi hapo ipo juu ya mwenzake.
 
Mkuu umepata update mpya ya play store, hapa naona movie music, magazine na books ila vyote hela vitabu tu ndo kuna vya bure?

mkuu kikawaida miziki na video huuzwa so usishangae sisi hapa tanzania tushazoea wizi. hivyo vitabu vipo vya bure na kulipia na hivyo vya bure pia mara nyingi si vizuri.

ila zipo ways za kuvipata bure kwenye website nyengine tofauti na store
 
mkuu wanaposema
touchscreen with 256,000
colors,
na touch-screen 16m colors huwa anamaanisha nn?!! Na ipi hapo ipo juu ya mwenzake.

mkuu tuanze na kuangalia kioo cha simu. kioo cha simu kimeundwa na vibox vidogo vidogo vinaitwa pixel. hivi vibox vinaunganika na kutoa kioo. mfano simu unaskia ina screen resolution ya 1280x768 basi ujue upana kuna vibox 768 na urefu kuna vibox 1280 hizo ndo pixel.

unaposema 256,000 color na 16 million color ina maana hii.

tunajua duniani kuna rangi tatu bluu, njano na nyekundu ukizimix hizi rangi unatoa rangi nyingi. na ili kioo kioneshe na rangi kisiwe black and white basi vibox vya kioo vinahitaji viwe vina uwezo wa kuonyesha rangi. smartphone yenye 256k ina maana pixel zake zina uwezo wa kuonyesha rangi za idadi hio na smartphone yenye 16m pia ina maana ina uwezo huo.

kwa simu ndogo mfano nokia ambazo si smartphone kama asha 200 au android ndogo kama galaxy young si rahisi kutofautisha vioo vinavyotumia technolojia hizi kwa lugha nyengine haina maana kwa simu ndogo kua na 16million color. ila kwa simu kubwa zenye vioo kama inch5 na kuendelea zenye resolution kubwa zinazokaribiana na computer ni dhahiri utaona kioo cha 16m kinaonesha picha vizuri na details unaziona kuliko cha 256k.

nafkiri nimejibu swali lako kwa ninavoelewa mwenye kuongeza anaweza akaendelea
 
Phantom A - Device Specifications
Equipped with
Android 4.1 (Jelly
Bean), 1.0GHz dual-
core CPU with 1.0GB
RAM, F7 also has
Ultra-large screen,
Super Slim body that
is concise and
elegant. It has faster
internet speeds,
access to games and
a variety of apps. Key
Features Android4.1
(Jelly Bean), HD
8.0MP Camera,
Asphalt 6, Google
Playstore, Facebook,
WIFI, Gmail, Google
maps
Key Features
2G/3G , WIFI ,
google Play ,
facebook , opera
mini , google maps ,
Dual SIM Dual
Standby
Platform
Operating
system : Android
4.1
Network : 3G/2G
Band : GSM900/
DCS1800/
WCDMA2100MHz
Basic
Parameter
CUP frequency :
1.0 GHz Dual
Core
CPU : MT6577H
GPU : PowerVR
SGX531 Ultra
(522MHz 22Mtri/
s?700Mpix/s)
Battery
Capacity : BL-3H
(2100mAh)
Talk time : 120H
Standby time :
400H
Data
GPRS : Yes
EDGE : Yes
3G : Yes
Size
Color : White,
Black
Dimension :
143.5*70.8*9.1mm
Memory
ROM/ROM : 4 GB
RAM/RAM : 1 GB
External
memory : 32 GB
Camera
Camera Type :
Back/Front
Pixel : 8M/1.2M
Flash Light : Yes
Video recording :
720p, 30fps
Video calling : Yes
Image size :
3264x2448
Display
Size : 5.0
Material : TFT
Type : CTP
Resolution :
720*1280(HD)
Sensor
G-sensor : Yes,
3D support
Light sensor : Yes
Proximity sensor :
Yes
Common Tools
Torch : Yes
Calculator : Yes
World clock : Yes
Alarm : Yes
Memo : Yes
Calendar : Yes
Multimedia
Audio player :
Mp3/Midi/Amr/
Wav/AAC
Ringtone format :
Midi/Mp3
Video player :
MP4/3GP
Picture format :
Jpg/Gif/Bmp/Png
Message
E-mail : Gmail
SNS/IM :
Facebook
Entertainment
Flash : No
JAVA : No
FM radio : Yes
Voice recording :
Yes
E-book reader :
No
Games : Yes
Connectivity
GPS navigation :
Yes
WiFi?WLAN? :
Yes
Bluetooth : Yes
USB port : 5PIN
Earphone :
3.5mm
Program Files
Map software :
Yes

Source: official webiste ya tecno
 
Back
Top Bottom