Bugs za app. Ya jamiiforums

Bugs za app. Ya jamiiforums

Mchoraji Cyper255

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2012
Posts
1,781
Reaction score
6,143
Nimeitumia hii application kwa wiki sasa ni nzuri lakn naona bado inabugs nyingi.

1.Inacrush sana..

2.Inaload muda mrefu sana.

3. Na zile animoticons 🙂) ) zinaonekana nusu.

4.Inasumbua kureply comment flani.

5.Hakuna copy and paste.

**Mkirekebisha hizo nadhani itakuwa ni application bora kabisa EAST AFRICA.
 
Sure.
Mimi inanisumbua kuona notifications na profile yangu
 
Hata kwenye Tapatalk sikuhizi uki search haipatikani, zamani nilikuwa na browse jf kupitia tapatalk.
 
Mara nying nikifungua inafunguka ila nikitaka kumkot mtu aliye weka uzi inaleta hii meseji....sasa sijui ndo na nyie mko "not eligible" maana inakera sana!!!
 
Hata kwenye Tapatalk sikuhizi uki search haipatikani, zamani nilikuwa na browse jf kupitia tapatalk.

Nilidhani peke yangu.. jf kwenye tapatalk imepotea
 
Nilijua n mm tu
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1373293693874.jpg
    uploadfromtaptalk1373293693874.jpg
    38 KB · Views: 55
Mi huwa inakuja hv
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1373296517438.jpg
    uploadfromtaptalk1373296517438.jpg
    12.5 KB · Views: 51
Back
Top Bottom