Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

.
NDUGU ZANGU NAOMBA MSAADA NAMNA YA KU-UNLOCK MODEM YA AIRTEL HUAWEI e153u-2 PERMANENT.
0 Reactions
0 Replies
678 Views
Wasalaaam wakuu wa kazi. ISP gani mzuri na internet yake ipo efficient, awe na router kwasabau ofisi ina computer zaidi ya kumi na zote zinaitajika kupokea mawimbi ya internet. Ofisi ipo maeneo ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wadau. Nina tatizo na laptop yangu aina ya compaq presario F700 refurbished to F750US yenye windows 7, 32-bit os, 2.4gb ram, amd athlon (tm) 64 x2 dual-core processsor tk-57 1.90ghz...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Niliwasha Laptop yangu, ikawaka vizuri. Baada ya kuiacha kwa muda wa kama dak 5, ika-Sleep. Nilipotaka kuitumia sasa ndo nikashangaa kuona hai-display kitu kwenye screen. Nikajaribu kuizima...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
naombeni kusaidiwa wataalam jaman. nina sumsang min laptop imegoma kupokea usb yotote. siwezi hata badili window kwa sababu hauna mlangi mpaka mlangi wa nje. na usb zote zimegoma. nifanyeje...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
wakuu kepeskic ant virus yangu ime exspire naomba mwenye code namba zake anitumie ili niapdate ya kwangu
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau! Humu ndani kuna wataalam mbalimbal wa masuala haya,shida yangu nahitaj computer ya mezan( desktop) kwa ajili ya matumizi ya nyumbani hasa kujisomea (online), sasa wataalam ninunue komputa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ladies na Magents wa Tech, Gadgets & Science Forum, wasaalam! PC yangu inapoanza kuzingua mara nyingi huwa najaribu kuinstall ant-virus na kuscan partitions kwa kadili niwezavyo na inapotokea...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Website nyingine zinafunguka vizuri,isopokuwa jf tu. naomba msaada wana jf
0 Reactions
0 Replies
763 Views
wadau kila niingiza pasword kwenye email yangu ya yahoo inagoma na sio kwamba nimekosea pasword,inaniambia psword or user account wrong its a week now hebu jisaidieni maana kuna jambo la muhimu lana
0 Reactions
5 Replies
340 Views
Wakuu ninatumia Nokia Lumia 520,kila nikijaribu kuingia "STORE" na kutafuta application ya JF ili ni iinstall inaniletea feedback kuwa "we couldn't find a match" Mwenye kufahamu juu ya hili tatizo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
GUYS NINA External hapa ya transcend hapa imenizingua nikiconnect kwenye PC inasema "DEVICE NOT INSTALLED PROPERLY" then haifunguki..help me out guys how should I start fixing this
0 Reactions
0 Replies
715 Views
Salaam wakuu............huwa na-watch sana movie kwenye simu lakini cha kushangaza imegoma kuonesha wakuu. Nna download manager aina ya multiclip ndio huwa natumia kila siku,nikajaribu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Waheshimiwa kila ninapo download applications kwenye simu yangu ya Samsung galaxy s4 inaniletea message inayosomeka downloading error (403)... nini litakua tatizo? Msaada please. .
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini za mchana/asubuhi/usiku wakuu. Nilikuwa naomba kwa anayejua bei kamili ya hizi simu dukani au kashaziona kwenye pita pita zake hapa na pale, Angeni saidia kunitajia na pia hata duka...
0 Reactions
19 Replies
10K Views
Realesing Date dis year 2013....septembeR.!! #Stay TuneD...can't wait 2 use iT
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani nimepata hii mobile broadband ya HUAWEI ni Vodafone mobile Wi-Fi R201 inatumia laini moja ya vodacom Sasa naombeni msaada ku-unlock hii modem niweze kutumia mitandao tofauti. Msaada...
0 Reactions
0 Replies
717 Views
Kuna micontacts imeng'ang'ania kweny contacts list yangu na sitaki kuiona. Mtu sio rafiki yangu sina namba yake ya simu lakini namuona kwenye list yangu, sitaki.....mwenye kujua jinsi ya kufutilia...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Natumia Huawei Y300 lakini inakataa kuplay video YouTube pia natumia line ya Tigo
0 Reactions
0 Replies
741 Views
Back
Top Bottom