Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

jamani mimi nimeshare nimeshinda 500$ pofia hapo nawe ushinde SHARE AND WIN
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nawapongeza sana Tritel (T) Ltd kwa kuwajali watu wa Tarime kwa kuwaletea mtandao wa kasi. Sikuamini macho yangu kwa sababu nilijua Voda ndio wangelianzisha na sasa hivi naEnjoy Speed yake.
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Noma sana. Teknolojia inapanda bei daily. Vodacom vifurushi vyao bei imepanda kuanzia juzi usiku, imeongezwa tsh100 kwa kila kifurushi ulichokua unakijua. KAZI NI KWAKO.
0 Reactions
42 Replies
6K Views
njia gani ya ku add gadget ya jamiiforum kwenye google sidebar, ya laptop, ZINAKUJA NYINGINE TU za NJE na mimi nataka za habari za hapa nchini tz zaidi, AU JAMIIFORUM KWA UJUMLA, that's my point!
0 Reactions
1 Replies
927 Views
Download free Soft wares, Activation keys, Games and tuitorials at JmJProduction
0 Reactions
0 Replies
868 Views
Buy the bluetooth Bracelet now at sabasaba. For only 65,000tshs. Saba Saba Offer. We are located behind Alhasan Mwinyi Hall. Call 0764 468420 for directions when you are there. After sabasaba...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nina matatizo mawili. Kwanza; Kwa zaidi ya mwezi sasa compyuta yangu aina ya dell ambayo nimeitumia kwa zaidi ya miaka miwili, imekuwa too slow na tena hata kufungua internate ni shida kweli. Sina...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Compyuta yangu DELL DIMENSION 9150 Inatumia OS WINDOW XP POSSESSIONAL Imeniletea letea tatizo lifuatalo. UNAPOFUNGUA KITU CHOCHOTE NA UKITAKA KURUDI NYUMA ILE ICON YA BACK NA FORWARD IMEPOTEA NA...
0 Reactions
3 Replies
854 Views
Jinsi ya ku download na ku install tafadhali.
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Bandungu naomba msaada wa haraka. Kuna HDD yangu ya gb 500 imebakia na free space ya gb 9.4 tu wakati wala haina vitu vyenye size kubwa, na wala sijabackup windows. Nimetumia revo uninstaller...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada ktk hili nimejaribu kutumia apps tofauti kutoka google play tatizo nashindwa kuitumia app husika kuweza kudownload nyimbo au muvi.msaada kwa anayue fahamu plz
1 Reactions
10 Replies
3K Views
NDUGU ZANGU NAOMBA MSAADA NAMNA YA KU-UNLOCK MODEM YA AIRTEL HUAWEI e153u-2 PERMANENT.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu,naombeni maujanja yakutoa hii kitu packet data connection internet nimejaribu nimeshindwa,simu yangu nokia e5
0 Reactions
17 Replies
3K Views
wadau naomba kujua jinsi ya kudownload wassup katika simu yangu natumia samsung GT_ 7722.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wadau natanguliza salam, naombeni mwenye link ya hii kitu aniwekee jameni, sijui labda nimeshindwa ku search au la, shukrani za thati natanguliza
0 Reactions
9 Replies
2K Views
solar panel original hutengenezwa nchi /ni za kampuni gani? Ni hilo tu wakubwa nomba kuwasilisha!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamaa IDM yangu inaleta shida, inaleta option ya kudownload fresh kabisa ila video inayokuwa downloaded ni tofauti kabisa kuna video inayotokea ni jamaa flan hivi video inavyoanza anakuwa anajamba...
0 Reactions
0 Replies
850 Views
Nina matatizo mawili. Kwanza; Kwa zaidi ya mwezi sasa compyuta yangu aina ya dell (ambayo nimeitumia kwa zaidi ya miaka miwili) imekuwa too slow na tena hata kufungua internate ni shida kweli...
0 Reactions
3 Replies
988 Views
wadau naomba mnijuze kama inawezekana kufungia dish king'amuzi cha startimes.
0 Reactions
1 Replies
888 Views
Habari zenu wanajamvi? Kwa kweli mimi ninapumua,Samahani saana nimesikia kuna uwezekano wa kutengeneza wireless kwa kutumia modem bila routers!plz how can this be done? natanguliza shukrani za...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom